Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
πππ huko hatutaingia, ni mziki tu na kunywa + vibeSisi tunaoishi kwa wazazi mwisho wa kurudi nyumbani ni saa 1 jioni, kwahiyo mchana ndio tulienda huko unapoenda wewe usiku huu. Kutesa kwa zamu.
Ushauri: Kama unaenda Lodge, kagua mashuka vizuri maana watu wamecheza humo mchana kutwaπ
Leo ndio kilele πππWengine mnakula makombo yetu, wazee wa kazi tulimaliza jana
Sasa kwanini msizini? ππππππ huko hatutaingia, ni mziki tu na kunywa + vibe
Sawa mkuu sitawaangusha, kuna pisi kali kama 7 zilikuwa zinaomba appointment; nikurushie mmoja?Kama Utatunukiwa Hakikisha Unatuwakisha Wanaume Wote Duniani Vyema.
Kila La Kheri Katika Kutuwakilisha Sisi Tupo Tuna-navigate Jf.
Ebu toroka hapo nyumbani uje meza kuu kwanza πSasa kwanini msizini? πππ
Weee unataka nifungiwe nje na baba eehπEbu toroka hapo nyumbani uje meza kuu kwanza π
Ukifungiwa ndio vizuri, ulale kwanguWeee unataka nifungiwe nje na baba eehπ
πππnamshukuru Mungu niko zangu single maana ππΏππΏππΏSisi tunaoishi kwa wazazi mwisho wa kurudi nyumbani ni saa 1 jioni, kwahiyo mchana ndio tulienda huko unapoenda wewe usiku huu. Kutesa kwa zamu.
Ushauri: Kama unaenda Lodge, kagua mashuka vizuri maana watu wamecheza humo mchana kutwaπ
Sasa hapo ndio nitakuwa nimewasha moto. Wewe nenda mkuu kaserebuke acha mimi nijilalie zanguUkifungiwa ndio vizuri, ulale kwangu
Mdada mrembo kama wewe unakuwaje single sasa?πππnamshukuru Mungu niko zangu single maana ππΏππΏππΏ
Hiyo hatarinimetoka kushuhudia watu wakipigana dakika 5 zilizopita hapa bondeni ferry chanzo ni demu kuchukua maokoto sehemu mbili alafu kagonganisha magari πππ hii siku mpka iishe zimemwagika damu pipa 7
Kulala muda mrefu ni kuuozesha mwili; mwili unakuwa unaoza kwa harakaSasa hapo ndio nitakuwa nimewasha moto. Wewe nenda mkuu kaserebuke acha mimi nijilalie zangu