LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Kuna vijana wengi wamejiajiri kwenye kazi ya ufundi simu Ila Kati ya 20 waweza pata mmoja tu ndo anaelewa kidogo kuhusu simu walio Baki ni kuchoma maiki tu na kubadili vioo kwani hata kubadili port ya kuchajishia wengi hawajui vizuri jinsi ya kuifanya iwe strong, sio mteja anatumia mwezi tu Ina legea,
Simu ziimekuwa no nyingi Sana Tanzania kwani ni wastani wa Kila nyumba wanamiliki simu, naiomba serikali Kama ikiweza ipeleke cozi za ufundi simu Kila Kanda au mkoa kwani naamini wahitaji kwa Sasa pia ni wengi,
Mm sijasoma Wala sijawahi kukaa na fundi akanifundisha vizuri lakini nimeweza kupambana mwenyewe mpaka Sasa ndo kazi inayonifanya nilishie familia japo naamini ningekuwa ya zaidi ya hapa nilipo Kama tu ningesomea,
Nimekuwa nikikutana na mafundi wakitafuta mashine ya simu Mara kadhaa, ukimuuliza shida ya hiyo mashine iliyokuwepo anakwambia tu imegoma kuwaka, je? gari injini ikigoma kuwaka huenda kununuliwa nyingine hata Kama imetumika mwezi? Jibu ni hapana Bali hiyo injini itatengenezwa, na simu pia ni hivo hivo kwani waweza kuta spea ipo Ila ni ule ujuzi wa kuhamisha ndo hatuna,
Veta Kuna Kila Aina ya cozi Ila ufundi simu hakuna, hakuna kiongozi asiyetumia simu,
Au muende kule China muwachukue walimu kutoka huko maana kwetu hapa hatuna huo uwezo Wala vifaa,
Nawasilisha.