Mfano mzur chemikali aina ya CBD ni maarufu kwaajili ya kutengenezea dawa za maumivu kama sikosei na mafaida mengne kibao ambayo cyafaham.Mafuta ya bangi nimesikia yanasaidia sana kurekebisha mapafu yaliyo na hitilafu hata kifua cha mshipa.
Hii bangi ikiruhusiwa tutaiuza Kenya maana wao ndiyo waenya Kiingilishi cha kutafuta masoko Ulaya.
Bangi sio mbaya Ila utumiaji wake Kama sisi tunaiogopa Basi tu export nje naumia Sana nikiona jamaa zangu Zimbabwe wanatajirika halafu Mimi nakuwa maskini.
Ukiruhusu bangi ilimwe kwa export trade pia utatakiwa kila mkoa ujenge hositali za "MIREMBE". kwani bangi nyingi itazagaa mitaani kama pipi, inatakiwa kupima pros and cons in national rather than individual level kabla hujaamua kitu kama hicho.
Kama sasa hivi inazuiwa na bado watu wanavuta bila serikali kupata chochote, bora utaratibu uwekwe wstakaotaka kuwekeza, wapige pesa na wale wanaotaka kuvunja sheria waendelee kuvuta kama wanavyovuta sasa hivi.