DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Ntaandika kwa uchache Ila kwa kutumia falsafa .
Kwanza nakemea mambo yote yanayoendelea katika nchi yetu kuanzia kukamatwa kwa viongozi wa vyama vya upinzani, kushambuliwa kwa Father Kitima, kuchukuliwa kwa Mdude kinyemela n.k.
Mambo yote haya ni kinyume dhidi ya haki ,utu na sheria za nchi tulizojiwekea sisi wenyewe.
Kwa kuanza , ningependa kutoa muongozo kwa serikali zetu kujifunza kuwekeza katika matumizi ya akili na sio nguvu katika utatuzi wa mambo.
Serikali au viongozi mnabidi kuongoza mambo ya watu na sio kuongoza watu.
Hii Concept huwa haieleweki kwa watu hasa viongozi wa kiafrika .
Binadamu huwa anajiongoza mwenyewe kuelekea kule anapopahitaji hivyo kumuongoza MTU ni kitu ambacho kitakufanya utumie nguvu kubwa Sana na ukishindwa utatumia nguvu mbadala kumuongoza MTU na mwishowe utamuondoa kwa kumuona Kama tatizo sugu.
Mfano vijana Kama Soka, Mdude, Ben saanane - hawa tayari walikuwa kuna imani wanayo dhidi ya upinzani na dhidi ya chama tawala.
Hivyo ikiwa tungetumia akili tusingewaondoa bali tungeongoza mambo yao na baadae wao wangechagua upande ambao wanavutiwa nao.
It is big mistake , kuamini kuwa njia ya kuondoa upinzani ni kuwaondoa wapinzani .
No -upinzani ni Kama imani na sio chama, MTU anaweza kukubaliana na wewe kwa yale unayoyafanya na anaweza asikubaliane na wewe kwa yale unayoyafanya.
Hivyo serikali au MTU yeyote mwenye power -anabidi kujifunza kuongoza mambo ya watu na sio watu.
Mfano nikisema mambo ya watu ni Kama usalama wa raia , haki za binadamu, huduma bora za kijamii kama, Shule hosptali n.k
Sisi serikali tunaidai huduma na yenyewe inatudai kodi , uwajibikaji ,kutii sheria n.k
Ikiwa Soka , mdude na Ben Saanane watalalamika dhidi ya mambo kuwa hayapo sahihi then wakapata mrejesho wa kutekwa ,kupotezwa maana yake tutakuwa tumefeli katika falsafa kuu ya kuongoza mambo ya watu na sio watu.
Kazi kuu ya serikali ni kuongoza mambo ya watu
na watu hukosoa mambo yanavyofanyika Na sio wat u
Kwakuwa watu hupita tu.
Sifikirii Kama sisi watanzania tuna VITA binafsi na viongozi wa serikali sifikirii