- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kijijini itafaa?Chief vuta carina,ist au run x hizo gari nzuri kwa kila kitu
Kwa kijijini carina utakula maisha sana narudiaaa sanaaa
Nafikiri, laki sita ni mshahara wake kwa mwezi, mbali na biashara inayomwingizia sh 150,000 - 220,000/= kwa mwezi.Sijawahi kuona mtu amenunua gari kwa bajeti ya laki 6 hata kama hiyo gari imechoka kiasi gani
Big up bro,nimekupata vema sana [emoji106]Mimi nakushauri ndugu mwalimu kifaida zaidi, ila kama wewe ni kijana. Kwa mzee naona atahangaika bure tu.
Huko kijijini kwanza unatakiwa ufahamu haununui hiyo gari kwa ajili ya kuendea kazini kila siku kwa sababu umbali wa unapoishi na kazini kwako ni mfupi sana ambapo unaweza kutembea ili kuboresha afya, labda kama unataka show off kwa wafanyakazi wenzako.
Kwa upande mwingine, unataka kununua gari kama hitaji la msingi na kulitumia kwenye dharura mfano kwenda kazini wakati wa mvua, au kwenda mjini na familia yako.
Kama unaona inafaa, huko kijijini kama hakuna magari mengi, unaweza kununua gari ambalo utakuwa unalia vichwa vya wanakijiji hata wikendi au utakuwa unakodiwa kwenye harusi, misiba nk, mfano noah, wish, probox nk.
Ukinunua gari mult-purpose huko vijijini utajikuta unaingiza hela na hautakuwa na stress nalo, kwa sababu linakuwa na mafuta ya dharura na umelipaki tu huku ukiendelea kutumia baiskel au pikipiki, na akijitokeza mteja unamkamua unapata pesa ya mafuta nyingi zaidi kupigia misele yako lakshari.
Huwa Navutiwa sana na jamii ya Noah hasa super extra lymo,Kwa uzoefu wako naweza PATA Kwa ngapi mkononi wma mtu ilio ktk Hali nzuri?Mimi nakushauri ndugu mwalimu kifaida zaidi, ila kama wewe ni kijana. Kwa mzee naona atahangaika bure tu.