Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au ni wewe?huyu mdada mimi namjua vizuri sana ni mzuri mbali na uzuri ana umbo lakuvutia sasa nashindwa kuelewa maana waswahili wanasema kizuri hakikosi kasoro labda kuna tabia za ndani ambazo mshikaji kaziona sio, ila anasifa zote za kuwa mke.
kwani nimemdanganya ? ndo ukweliSMILE jifunze ku comment mama,this is popularite forumme!! Hekima inaitajika sana!