kalamata
Senior Member
- Apr 16, 2011
- 144
- 29
....Jamani wana JF mtaniona kama taahira lakini sio hivyo,nina akili zangu timamu,yaani mpaka mda huu sioni nani atakae kua mrithi sahihi wa Jakaya kikwete ndani ya chama changu cha mapinduzi(CCM) bali naona siasa za fujo tu,tumesha waona wenzetu wa chadema,hata kabla ya kupewa ridhaa ya kuongoza Nchi kama wanavyodhani, tayari wameanza kugawana mbao na kuitoboa jahazi yao,ikisha jaa maji Nahodha atashindwa kuidhibiti jahazi mwishowe itazama.
Sasa huu ni muda muafaka wa sisi (CCM)Kumpa tena nafasi JK atuongoze maana juu ya udhaifu wao chadema wanaweza kutupiga bao kama hatutakua na chaguo SAHIHI,kama nitakua nimekosea naomba RADHI.
Sasa huu ni muda muafaka wa sisi (CCM)Kumpa tena nafasi JK atuongoze maana juu ya udhaifu wao chadema wanaweza kutupiga bao kama hatutakua na chaguo SAHIHI,kama nitakua nimekosea naomba RADHI.