Lyandembela1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 277
- 113
We mtoka kubaya kweli ndg yangu. Hili linchi lina watu takribani milioni 49, hao ni waliohesabiwa ndg yangu. Kwanini awe huyo Kiwete unaemtaka wewe tuu. Na inaonyesha namna gani unavyokiogopa hicho chama cha wa Wachagga ndg kalamata.
Mimi binafsi sina chama ila bado nina Imani na Chama cha Mapinduzi lakini si haya mawazo yako ya kipuuzi na ya kilevi, na ulevi wa madaraka uliokujaa.
pole sana ndg yangu kwa kuwa na mawazo mgando, Jenga kwanza nchi mkuu, kama wenzako wanavyofanya hao wagombea watapatikana hiyo mwaka 2015

Last edited by a moderator: