Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Teh vichekesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo dudu anataka sasa kufuata nyayo za TID MNYAMA , utaniambia nini wewe mtoto mdogo juzi unapanda daladala Makongo mimi super star ,nimekula watoto wazuri sasa hivi uko NBA unaleta dharau ....in TID voice ,vituko vingine bana TID na mwili wake kama mimi anamletea Hashim kibezi ,alishia kula kibao kimoja akalazwa na mpaka leo ni Mnyama mpole aka Panya anakula unga tu
BONGO DASLAAM
Hahaha acha tu mdomo huwa unaponza kichwaAisee nilicheka, TID na mdomo wake mchafu mwenyewe alidai kaonewa, eti alisema mi sijamfanya kitu namuona mtu ananikimbiza tu ananipiga.
jela miaka 3 hadi 7 ukimpiga mtuSi kwa Tanzania ya leo. Zile enzi Dudu anampiga Nice hali ya kiuchumi na kifikra kwa wasanii zilikuwa za chini kulinganisha na sasa hivi ambapo wasanii wengi wapo juu kiuchumi na kifikra. Dudu endapo atajaribu kumpiga shetta hatabaki salama na huenda akajikuta gerezani mojakwamoja. Afanye kazi zake za kumtafutia riziki kwa amani aache mambo ya kipuuzi maana watu kwa sasa hawana muda na huo ujinga wake.
Au mjusiKwanini asijiite KENGE kama shetta kachukua la mambq
Leo nimeona clouds clip moja hivi anahojiwa yuko bwax! na sura imeharibika kabisaa! asipojipanga ndio ana lost hivyo.huyo kaishiwa badala ya kujali mambo ya msingi analilia jina kwani kabatizwa nalo.. au ndio stress za kushindwa game!!!