Naomba Shetta Usinirudishe Enzi za Mr Nice - Dudu Baya

Huyo dudu anataka sasa kufuata nyayo za TID MNYAMA , utaniambia nini wewe mtoto mdogo juzi unapanda daladala Makongo mimi super star ,nimekula watoto wazuri sasa hivi uko NBA unaleta dharau ....in TID voice ,vituko vingine bana TID na mwili wake kama mimi anamletea Hashim kibezi ,alishia kula kibao kimoja akalazwa na mpaka leo ni Mnyama mpole aka Panya anakula unga tu
BONGO DASLAAM
 


Aisee nilicheka, TID na mdomo wake mchafu mwenyewe alidai kaonewa, eti alisema mi sijamfanya kitu namuona mtu ananikimbiza tu ananipiga.
 
Aisee nilicheka, TID na mdomo wake mchafu mwenyewe alidai kaonewa, eti alisema mi sijamfanya kitu namuona mtu ananikimbiza tu ananipiga.
Hahaha acha tu mdomo huwa unaponza kichwa
Yaani mtu akukimbize bure tu ?? Hata jogoo anavyomkibiza mtetea kuna kitu sio bure tu
 
Kwani yeye Mamba kweli?
Mambo wako Ziwani na Mitoni,
Je yeye kamba kutoka kwa Adam alietoa hilo jina kwa huyo Mnyama?
 
jela miaka 3 hadi 7 ukimpiga mtu
 
Amelisajili kama trademark? Vinginevyo ni kuwaingiza watu kwenye mijadala isiyo na tija
 
inakuwaje hawa wasanii wetu na majina ya wanyama.....

mara simba, sijui mamba, mnyama ....
 
kuna mdau anatumia avata yangu humu jf aiseeee....
 
huyo kaishiwa badala ya kujali mambo ya msingi analilia jina kwani kabatizwa nalo.. au ndio stress za kushindwa game!!!
Leo nimeona clouds clip moja hivi anahojiwa yuko bwax! na sura imeharibika kabisaa! asipojipanga ndio ana lost hivyo.
 
Huyo lazima kafulia...sad kuona haya majanga ya kusikitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…