Msanii SHETTA, ambae pia ni baba wa familia inayomtegemea yenye mke na mtoto wake amejikuta akiingia kwenye udhalilishwaji baada ya kumwiga msanii mwenzie diamond kwa kujipa majina ya wanyama, hali hii imetokea pale ambapo kajipa jina la Mamba jina ambalo msanii wa long time dudu baya mgomvi aliekwishawai kumtegua kiuno star wa enzi hizo Mr.nice kuweka hadharani kwamba mamba ni jina lake na Shetta asitumie jina hilo, hali hii iliambatanishwa na matusi mazito na kejeli nzito hali inayomfanya shetta baba mwenye familia aonekane dhaifu.
Dudu baya alihaririwa akisema shetta ana macho kama kenge na akijigamba yeye ni oil chafu haichafuki itakuchafua