Nxt Millionaire
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 406
- 89
- Thread starter
-
- #21
Nakupa hi kwa uvumulivu mkuu, maana kila uki-post habari za milele living unapata changamoto nyingi zaidi. Jitahidi kaka uko kazini.
We millionea Una ushamba ule wa utoto, enzi zetu tulivyokuwa watoto ukipewa buku unaenda kulichenji ili nazo nyingi!! coins kibao mfukoni!! sasa sijui mwenzetu bado upo utotoni ama Ndoto zako za alinacha zinakusumbua!! shilingi kila inavyoshuka tanzania wananchi vilio. kilo ya unga wa ngano unaijua bei yake lakini ama unaomba tu shilingi ishuke?? Siwezi kukuita pimbi ila hapo kidogo umepotea!!
Wacha nikwambie, nilichokiandika nina uhakika nacho 1,000% pengine kama vile wewe ulivyo na uhakika na kifo, nimekisoma, nimekitafiti kwa miaka miwili, nimekishuhudia kwa macho yangu, nimekifanya, sitoi hewani, nina CONCRETE EVIDENCE za kusema nibacho sema, ukitaka materials nita-share (kama si mvivu wa kusoma) na wewe hata kama wadhani mi pimbi. ni-PM nitakupa hizo materials, ikiwa bado ni tomaso.
Duh! Kweli wachumi wako wengi, Hongera akili yako na MKULO hakuna Tofauti, wach aifike 5,000/= tuone hilo ongezeko lako utatumia wapi?
sasa hivi, dola 2000
sukari 2500,
Mafuta 2200,
Mchele 2000,
Nyama 6000,
Ikifika 5000, kaa ukijua mafuta yatakuwa 5000, sukari 5000, mchele 5000, nyama 10,000, yote kutopkana na kupanda gharama z a mafuta na mbole pamoja na madawa ya kilimo.
Unajua ni kwanini vitu vinapanda bei?
Just to inform you ni kwa sababu ya WEAK Shilingi kwa Dola,
Shilingi ingekuwa dola 100 Leo huwezi amini Mafuta yange kuwa Lita shilingi 100, madawa ya wadudu, Mbolea na bidhaa nyingine vingekuwa chini kwa Asilimia kubwa sana.
Pole sana nadhani utakuwa umesoma darasa moja na hawa wachumi wetu.Wakina Mkulo, Ndulu, Kikwete and there LIKES!
Huyu jamaa AMAKARIRI NA KWA VYOVYOTE UMECHANAGNYIKIWA NDUGU YANGU.
UMELETA MADA UNATAKA DOLA IWE 5,000/= watu wankuambia ikiwa 5,000/=- sawa ukichenjio hiyo dola 7, 000 utapaat 35,000/= je hii hela utaitumia vipi? Unafikiri Dola ikiwa 5000 mafuta yatakuwa 2000 hapa hapa? sukari 2500? nyama 6000? dala dala 300?
Fikiri tena kabla ya KUANDIKA usiwe kama MKULO na Nundu sijuhi gavana yule, hawa hawajuhi ahta bei ya vitu kila kiotu kipo kwenye firiji na vingine vinaletwa!
Huyu jamaa AMAKARIRI NA KWA VYOVYOTE UMECHANAGNYIKIWA NDUGU YANGU.
UMELETA MADA UNATAKA DOLA IWE 5,000/= watu wankuambia ikiwa 5,000/=- sawa ukichenjio hiyo dola 7, 000 utapaat 35,000/= je hii hela utaitumia vipi? Unafikiri Dola ikiwa 5000 mafuta yatakuwa 2000 hapa hapa? sukari 2500? nyama 6000? dala dala 300?
Fikiri tena kabla ya KUANDIKA usiwe kama MKULO na Nundu sijuhi gavana yule, hawa hawajuhi ahta bei ya vitu kila kiotu kipo kwenye firiji na vingine vinaletwa!
Lets be realistic, kipato cha mtanzania kinajulikana, iwe kcc au ofisa hakitoshi, piga au labda uibe, whats wrong then earning some few dollars lets say 500 - 2,500 per month through this system, and without quitting your job or business?
Siku moja nilikutana na Mlemavu mmoja wa macho amechukua mambo IT pale IFM alikuwa ktk research yake, aliniambia kitu mpaka leo uwa nakitafakari, alisema,
"Nashangaa sana kuona wanafunzi wasio na ulemavu kama sisi wanafeli pamoja na kuwa na nyenzo na vitabu vyote kwaajiri yao, kuliko sisi wenye ulemavu, mimi nisingefeli, kwanini nifeli?" alimalizia kwa swali
Je hii ina maana gani kwa sisi wakazi wa Zama za Taarifa au Habari (Information Age Citizen)
We have each and everything at our disposal to distinguish between FACTS and FICTIONS, lakini twashindwa, twabakia kulalama, why?
Pasipo kubadili mitazamo yetu, hatutaweza kubadili maisha yetu, full stop.
Lets use this ICT placed at our disposal creatively for the better future, instead of what we are doing now.
Na hao wachache hawawezi kuwa wewe au huyo dada na vidola vyake 7,000 kwa mwezi anataka dola ifike 5000 hiyo 350,000/= itampeleka wapi?.Kibanga, umesoma heading au contents? kama ni content utagundua kuwa hiyo ni nukuu, si maneno yangu, na wala mimi si mchumi, athari zake zi wazi kwa wengi, bali kwa wachache wananufaika, hiyo ndio dunia ilivyo, unaweza kuamua kujiunga na wanaonufaika au na wanaolalamika.
Ebwana kwa mahesabu hayo umechemsha,last wiki nilikua Dar na dolla zangu kadha.Nilipoenda bureau kuchenji nilishangilia but nilipoingia madukani nikakuta bei ya vitu juu,nikiuliza mbona bei kubwa wakasema DOLA imepanda sana.hadi nilitamani kununua vitu kwa dola labda makali yangepungua.
hamna kitu hapo wizi mtupu, watu mnajifunza utapeli badala ya uzalishaji mali
So far, comments and reactions for this thread seems to be based, mostly on fear of what might happen if that comes true or to learn new things that comes our way or even new ideas that are quite different to what we used to or taught in our schools, its very sad, if you, being the Citizen of the Information Age, with each and every thing at your disposal to confirm any information you receive can have such kind of fear, its very sad, remember, Fear is the biggest enemy to success, we need to overcome, it if we really mean it, wanasema Uoga wako ndio umasikini wako!
Watanzania hatuna budi kuchukua hatua za makusudi kama kweli tuna uchungu na maisha yetu na uchu mi wetu binafsi pia, kulalamika hakutatusaidia hata kidogo, tuamke, hatuwezi fika mbali kama tutakalia porojo tu, kinachoonekana hapa ni kilio cha kuhofia shilingi isishuke kufikia hapo, lakini jiulize wewe binafsi wafanya nini katika hili?
Tubadilike, tujitume, tukamate na kujaribu kila fursa zilizopo mbele yetu kwa maendeleo yetu sote, kukaa na kulaumu serikali hakutatusaidia hata kidodo, tuache majungu, hayajengi, hatuwezi kuendelea kuwa nchi ya "Pool, Simu na Pombe" (msemo wa mwana JF mmoja) naongezea na UDAKU (kwa hili la udaku huitaji kufanya utafiti mkubwa, nenda meza za magazeti angalia yanayonunuliwa sana kisha njoo hapa JF angalia sred zinazochangamkiwa utapata jibu) alafu tukatarajia muujiza wa Shilingi yetu kupanda, haiwezekani, ni kujidanganya, hatuwezi kubadirika bila kubadili fikra na mitazamo yetu kuhusu fursa mbali mbali zitujiavyo, ni ndoto.
Hatuwezi kufanya shilingi yetu ipande kwa kuendekeza viti virefu, pool, simu na kushabikia UDAKU, haiwezekani, tutairaumu serikali bure tu, tutaria kilio cha samaki, machozi yataenda na maji, Zama za kutarajia serikali, shirika, mwajiri au kampuni ikufanyie kila kitu maisani mwako imepita, haiko tena, ya sasa ni juu yako binafsi kujitengenezea uchumi na taratibu zako binafsi, ndio maana wengi wamelalama kusikia dada yule akiomba vile, sio kosa lake, kuna kitu ameaona, wewe na usomi wako hutaki kukiona, atakusaidiaje? Amka, chukua hatua kabla jua halijakuchwa.