Sred hii inakaribia kutimiza miezi 2, wote wanaochangia hakuna aliojaribu kujibu maswali ya msingi yaliyopo,
Thread yako maswali yake yamelenga ku-drop names zaidi ya msingi. Mimi siamini katika authority ya majina, naamini katika principles na results.
Concept kubwa unayoiadvance katika thread ni kwamba kadiri shilingi inavyoshuka thamani kulinganisha na dola, wanaolipwa kwa dola wanafaidi. Hili linaweza kuwa kweli kama thamani inashuka pole pole, lakini thamani ikishuka sana kutakuwa na inflation kubwa kiasi ya kwamba wanaolipwa dola watapata shilingi nyingi, lakini hazitawasaidia kwa sababu bei za vitu zitakuwa kubwa.
Huwezi kuongelea maswali ya msingi kutojibiwa bila kujibu swali hili. Uchumi haujengwi kwa hela, ingekuwa hivyo nchi zingeshindana kuchapisha noti kwa kila karatasi inayopatikana. Uchumi unajengwa kwa uzalishaji. Na ni kweli kuna faida kwa nchi kuwa na a weak currency, ndiyo maana China mpaka leo wana i weaken hela yao artificially na Tim Geithner analalamika mpaka kesho kwa sababu hili linaipa China unfair competitive advantage.
Hujaongelea uzalishaji. Una drop names za common charlatans kina Donald Trump.
wote wanakimbilia kuishambulia, kisa ni dola na dhana potofu iliy ojengeka miongoni mwa o kuhusu Direct Selling/NWM/MLM, ni ofu na woga tu.
Wengine hata hatujaingia kwenye direct selling kui murder machete, tunaangalia principles zako za kujenga maghorofa kwenye unsound financial principle ya ku assume kwamba exchange rate ya kushusha thamani ya shilingi vs dollar itaendelea kushusha thamani shilling bila ku affect inflation. Hivi unafahamu the most common of economic principles? There is no free lunch, what the exchange rate giveth, under ceteris paribus, inflation taketh.
Woga na ofu ya mfumo huu ndo ilinisukuma kuufanyia utafiti na kujifunza zaidi na kugundua mengi ambayo wengi hawajayajua, kwangu ilikuwa rahisi kwa sababu kusoma vitabu ni sehemu ya kautamaduni kangu tangu sekondari.
Utafiti wako haujakamilika, ungekamilika usingesifia uzuri wa kushuka thamani kwa shilingi na kutaka ishuke zaidi na zaidi bila kujua inflation itakushika wapi.