mm pia niliomba na huwa nafuatilia kwa ukaribu sana ajira na interview za utumishi bado hawajaita mkuu usiwe na shaka endelea kuvuta subira na kufuatilia kwa umakini sana,,
Uciwe na hofu mkuu, katibu amesema hizo za maafisa tarafa na zile za state attorney wataita watu ndani ya huu mwezi kwa hiyo tuendelee kuchek tovut yao kila mara.