Naomba taarifa juu ya ajira za utumishi maafisa tarafa

Naomba taarifa juu ya ajira za utumishi maafisa tarafa

ICHANA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
4,766
Reaction score
3,595
Wana JF naomben taarifa cz cjasikia kuitwa kazin wala interview tangia hyo may za maafisa tarafa na zile za june kulikon/?MWENYE TAARIFA ANIPE PLZ
 
fuatilia website ya utumishi utajua kila kinachoendelea kwenye matangazo yao
 
mm pia niliomba na huwa nafuatilia kwa ukaribu sana ajira na interview za utumishi bado hawajaita mkuu usiwe na shaka endelea kuvuta subira na kufuatilia kwa umakini sana,,
 
Uciwe na hofu mkuu, katibu amesema hizo za maafisa tarafa na zile za state attorney wataita watu ndani ya huu mwezi kwa hiyo tuendelee kuchek tovut yao kila mara.
 
Back
Top Bottom