Unajua boss kubwa wa JF kaingia anataka kuwekeza kwa kutenga mabilion yake kadhaa😀mwisho kakukata upepo alipoona mambo ya vibaruaNilivyosoma title nikajua labda jamaa anataka awekeze au ainunue kampuni
Muwe mnaQuote Uzi mkuu, maana hawezi kufuta quote Yako na Uzi unabaki tukija tunausoma tuliochelewaJamaa kaacha ndala
Kafuta uzi wake