Hofumoyoni
Member
- Nov 28, 2019
- 71
- 99
Hili jukwaa ni hazina ya utaalam, atakayesema siyo reliable au ni reliable atakuwa na sababu kusupport alichokisema.Utaambiwa sio reliable.
Volvo ni gari ngumu sana. XC60 ina sifa zote za Volvo. Kuna engine maarufu mbili T5 na T6Sipendi kuamini kama jukwaa hili halina uelewa juu ya gari hili
XC60....just avoid Singapore imports. Usipeleke chini ya mti. Spare parts bei imechangamka(zipo), it's okay gari nzuri.
Aidha hawafanyii service magari Yao mpaka wanauza au wakiamua kuuza wanabadili parts nzima wanaweka mbovu.Mkuu huko singapore kuna shida gani? maana gari nyingi za huko ni bei rahisi sana, sasa changamoto ipo wapi
Ila kiukweli hua naiona Ina Ina sura mbaya,ingawa neno sura mbaya Ni 'relative'.
What is wrong with singapore import? Ni kwa gari zote au hiyo tu?XC60....just avoid Singapore imports. Usipeleke chini ya mti. Spare parts bei imechangamka(zipo), it's okay gari nzuri.
GAri nyingi sana.What is wrong with singapore import? Ni kwa gari zote au hiyo tu?
Mkuu what is wrong with Singapore Imports? Naona wengi wanatoa hiyo tahadhari.XC60....just avoid Singapore imports. Usipeleke chini ya mti. Spare parts bei imechangamka(zipo), it's okay gari nzuri.
Mkuu what is wrong with Singapore Imports? Naona wengi wanatoa hiyo tahadhari.
Anyway.GAri nyingi sana.
Wewe ni mmoja wa wachache waliobahatika. Ipo siku utaelewa kwanini watu wanatoa angalizo na magari ya Singapore.Anyway.
Nilinunua gari kutoka singapore. Haikua na shida yoyote mpaka sasa ni mwezi wa 5. Ni mpyaa ilikuja na 45,000km....
So inategemea na dealer.
Pia niseme hata mimi nilipewa hiyo tahadhari kuwa wengi ni wapigaji so nilichukua tahadhari kubwa.