Naomba taarifa kuhusu VOLVO XC 60

Naomba taarifa kuhusu VOLVO XC 60

Hofumoyoni

Member
Joined
Nov 28, 2019
Posts
71
Reaction score
99
Habari wataalam.

Nimevutiwa na hili gari, lakini haha nilipo Sina taarifa za kutosha kuhusu ubora na changamoto zake. Na kwa kuwa jukwaa hili Lina wataalam, ninaomba kusaidiwa kujua kabla sijajilipua.

Asanteni.

1.jpg
 
Hizi gani hata mimi nimependa sana, nimeshaziona arusha Kama 3 hivi. na mimi natamaninkujua. natamani pia niachane na wajapani
 
XC60....just avoid Singapore imports. Usipeleke chini ya mti. Spare parts bei imechangamka(zipo), it's okay gari nzuri.

Mkuu huko Singapore kuna shida gani? maana gari nyingi za huko ni bei rahisi sana, sasa changamoto ipo wapi
 
XC60....just avoid Singapore imports. Usipeleke chini ya mti. Spare parts bei imechangamka(zipo), it's okay gari nzuri.
Mkuu what is wrong with Singapore Imports? Naona wengi wanatoa hiyo tahadhari.
 
GAri nyingi sana.
Anyway.

Nilinunua gari kutoka singapore. Haikua na shida yoyote mpaka sasa ni mwezi wa 5. Ni mpyaa ilikuja na 45,000km....

So inategemea na dealer.

Pia niseme hata mimi nilipewa hiyo tahadhari kuwa wengi ni wapigaji so nilichukua tahadhari kubwa.
 
Wewe ni mmoja wa wachache waliobahatika. Ipo siku utaelewa kwanini watu wanatoa angalizo na magari ya Singapore.
 
Back
Top Bottom