Naomba tafsiri ndoto hii: Niko juu ya mbuyu na wachawi. Je, Kissendi anataka niwe mchawi?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Historia yangu kwa ufupi
Mimi ni mzaliwa wa pili tena ni mzaliwa wa Kwanza.

Mama yangu ana watoto watatu na Mimi ndiye mzaliwa wake wa pili kati ya watoto watatu.

Kwa baba tuko wanaume wanne na wa kike wawili ila Mimi ndiye mkubwa kabisa.

Baba yetu alishatangulia mbele za haki miaka ya tisini, kwa maradhi ya ukimwi, akituacha tukiwa wadogo.

Baba alibahatika kuzaa watoto hao na wanawake wengine hivyo Basi, Mimi na dada yangu tumeshea tumbo moja, Kisha kuna wavulana wawili, wao kila mtu na mama yake, na mwishoni kabisa kuna binti na mdogo wake, wao walizaliwa wawili.

Wamama wote walifariki isipokuwa mama yangu tu. Hivyo tulisambaratika na tumekuwa tukiishi kama digidigi kwani mali zetu zote ziliporwa na ndugu na ziliuzwa.

Ndoto ya usiku huu
Nimeota niko njiani natoka Ulaya na mama tangu kwa usafiri wa ndege, kwenye ndege nikabahatika kuonana kwa mara ya kwanza na bwana Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya, huyu ni mwanaharakati mashuhuri anayehamasisha watu warejee kwenye asili yao ya u Africa.

Warudi kwenye matambiko, uchawi, na Mambo yote ya kale ambayo hayapo Tena leo.

Basi tukasaliamia na Kissendi, na ndege ilikuwa inaenda O. R. Thambo Johannesburg ndipo ije Dar es Salaam (sio kawaida kwa ndege nyingi, ni Mambo ya ndoto tu hayo)

Tukiwa O. R. Thambo tukapanda treni, lakini kulikuwa na watoto wengi sana stesheni na nguo zao za shule ya msingi, treni ikawa Kama inaenda Mbeya au Mwanza.

Basi ndoto ikarudi Yuko kwenye ndege na sio treni Tena, tukitoka Johannesburg to Dar es Salaam.

Tulipotua tukaagana na Kissendi, na akanielekeza kwake, nikaahidi kumtembelea.

Dhahama linaanza.
Nikafunga safari hadi huko nje ya mji kwa Kissendi, huko kumekaa Kama Mwanza lakini nilienda kwa miguu nikiwa na rafiki yangu Mwinshehe.

Tulipofika, tulistaajabu kukuta nyumba iko juu ya mbuyu.

Tukakaribishwa ndani, sakafu ulikuwa ni ya mbao na kuna baadhi ya sehemu zilikuwa na uwazi kiasi kwamba unaweza ukadumbukia na kudondokea huko chini.

Ukumbini tulikuwa watatu, Mimi, Mwinshehe na Dada aliyetupokea.

Vyumbani kulionekana kuna watu, ila Dada akatwambia tusubiri atuitie mwenyeji wetu.

Baada ya muda si mrefu mwenyeji wetu akaja, tukawa tukipiga stori kadha wa kadha, na miongoni mwa swali nililomuuliza, kwanini amejenga nyumba juu ya mbuyu?

Basi akatoweka, tukabaki wenyewe sebuleni. Baada ya kitambo akaja Tena yule Dada wa kwenye Ile nyumba, akatwambia "Bonekagi" nikamwambia rafiki yangu Mwinshehe, tumekaribishwa chakula, twende tukanawe.

Basi yule Dada alikuwa mbele, na sisi tunamfuata, akatuzungusha sehemu nyingine ya nyumba Ile.

Njaa Kali ilikuwa ikituuma, hakukuwa na chakula ila watu waliojazana ukumbini wakifanya mdahalo.

Akainuka bwana mmoja ambaye alikuwa amevaa kola ya kichungaji, akaongea maneno yasiyoeleweka.

Aliyekuwa anaongoza mdahalo ule akasema yule mchungaji anataka kujifunza uchawi, Basi kukatokea zogo kali. Kumbe mle ukumbuni kulikuwa na watu wengine sio washirikina (Mimi na watu wengine).

Basi kuna binti mmoja ana Kama miaka 20 hivi akasema nyie watu msioamini Kama sisi tuna nguvu, ngoja niwapeni somo dogo, Basi akalisogelea shina la mbuyu, sehemu ambayo haina uwazi, shimo, wala tobo, Kisha akakizamisha kiwiliwili chake chote ndani ya shina lile, Kisha kiwiliwili Cha mwili ule kikatokea upande pili. Tukastaababu sana, nikashtuka usingizini na kwenda kuiweka simu yangu kwenye chaji.

Nikasali, na nikarudi kulala.

Sehemu ya pili, miuzauza na miyeyusho inaendelea.

Basi niliporudi tena kulala, nikaanza kuota ndoto Tena, mazingira ya ndoto yalikuwa yaleyale. Utisho na mandhari ya kuogopesha juu ya mbuyu.

Akanitokea Kissendi akiwa na mwenzake A Man With No Tittle, wakaniambia niwasimulie nimeota nini?

Nikawasimulia ndoto nzima kuanyzia kule kwenye ndege hadi tunafika kwenye nyumba iliyopo kwenye mbuyu.

Kissendi akaanza kunihoji, nyumba ilikuwa kwenye mbuyu wa aina ukubwa gani? Mchanga, saizi ya kati au mkubwa?

Nikamjibu kuwa ni mbuyu mkubwa, Kissendi, akainamisha kichwa, akasikitika akasema, Hilo ni tatizo kubwa sana, na ili kulitatua, inabidi uung'oe huo mbuyu na mizizi yake pia, usibaki hata mmoja.

Nikabaki pale nawaza, wao kina Kissendi na A MAN WITH NO TITLE wakaondoka, nikajisemea moyoni, Mimi siujui uchawi, huu mbuyu wa kichawi nitaung'oaje?

Basi nikaenda kuwekwa kwenye chumba kina watoto wa miaka kati ya 13-15 Kama sita hivi, wanakula nyama za watu.

Mimi akili yangu na ufahamu wangu wote nimeuelekeza kwenye kuung'oa mbuyu.

Basi nikaanza kuiita damu ya YESU, nikaiita hiyo damu ya YESU sana, nikaanza kung'oa madhabahu zote za kichawi na mizi ya ule mbuyu, nikawa nasema damu ya YESU, damu ya YESU, wale watoto waliokuwa wakila nyama za watu wakaja kunipigia magoti. Nikashtuka nikijiuliza hii ni ndoto ya namna gani?

Sijawahi kuota ndoto Kisha ikaendelea.

NB:-
Mnisamehe ndugu zangu, sikuwepo hewani kwa miaka mingi, niliamua kuwa msomaji tu, baada ya kuminywa kwa Uhuru wa kutoa maoni yetu.

Nimerudi, asanteni
 
Hii kwa asilimia 100 haikuwa ndoto na kama ni ndoto basi ni ndoto taarifa au ndoto maono

KDa kawaida ndoto huwezi kuzikumbuka hatua kwa hatua na kwa kila kipengele kama simulizi hii yako

Wewe ulichukuliwa kiroho na kupelekwa mahali na kuoneshwa kila kitu ulichoona na kufanya

Inawezekana kabisa ni maoni ama ulitumika tu kama kitendea kazi kwenye mishe za watu
 
Nakushukuru mkuu, Asante sana
 
Muda si mrefu nimepokea taarifaa ya msiba ya mama yangu mdogo. Huzuni sana
 
Hii kwa asilimia 100 haikuwa ndoto na kama ni ndoto basi ni ndoto taarifa au ndoto maono

KDa kawaida ndoto huwezi kuzikumbuka hatua kwa hatua na kwa kila kipengele kama simulizi hii yako

Wewe ulichukuliwa kiroho na kupelekwa mahali na kuoneshwa kila kitu ulichoona na kufanya

Inawezekana kabisa ni maoni ama ulitumika tu kama kitendea kazi kwenye mishe za watu
Hivi mkuu mshana Jr ikitokea umeota unafukzwa na ngo',mbe au watu halafu ukapaa juu maana yake nini?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Imani potofu, ndoto ni matukio yako ya zamani kuanzia utotomi mpaka hapo uliposasa yapo kwenye ubongo wako, mengine uliyatoa lwenye runinga

Ukilala yanaanza kujiplay kwa vipande vipande. Haysma maana yeyote zaidi unapoteza muda wako kutaka kuyaelewa
 
Historia yangu kwa ufupi
Mimi ni mzaliwa wa pili tena ni mzaliwa wa Kwanza.

Mama yangu ana watoto watatu na Mimi ndiye mzaliwa wake wa pili kati ya watoto watatu.

Kwa baba tuko wanaume wanne na wa kike wawili ila Mimi ndiye mkubwa kabisa.

Baba yetu alishatangulia mbele za haki miaka ya tisini, kwa maradhi ya ukimwi, akituacha tukiwa wadogo.

Baba alibahatika kuzaa watoto hao na wanawake wengine hivyo Basi, Mimi na dada yangu tumeshea tumbo moja, Kisha kuna wavulana wawili, wao kila mtu na mama yake, na mwishoni kabisa kuna binti na mdogo wake, wao walizaliwa wawili.

Wamama wote walifariki isipokuwa mama yangu tu. Hivyo tulisambaratika na tumekuwa tukiishi kama digidigi kwani mali zetu zote ziliporwa na ndugu na ziliuzwa.

Ndoto ya usiku huu
Nimeota niko njiani natoka Ulaya na mama tangu kwa usafiri wa ndege, kwenye ndege nikabahatika kuonana kwa mara ya kwanza na bwana Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya, huyu ni mwanaharakati mashuhuri anayehamasisha watu warejee kwenye asili yao ya u Africa.

Warudi kwenye matambiko, uchawi, na Mambo yote ya kale ambayo hayapo Tena leo.

Basi tukasaliamia na Kissendi, na ndege ilikuwa inaenda O. R. Thambo Johannesburg ndipo ije Dar es Salaam (sio kawaida kwa ndege nyingi, ni Mambo ya ndoto tu hayo)

Tukiwa O. R. Thambo tukapanda treni, lakini kulikuwa na watoto wengi sana stesheni na nguo zao za shule ya msingi, treni ikawa Kama inaenda Mbeya au Mwanza.

Basi ndoto ikarudi Yuko kwenye ndege na sio treni Tena, tukitoka Johannesburg to Dar es Salaam.

Tulipotua tukaagana na Kissendi, na akanielekeza kwake, nikaahidi kumtembelea.

Dhahama linaanza.
Nikafunga safari hadi huko nje ya mji kwa Kissendi, huko kumekaa Kama Mwanza lakini nilienda kwa miguu nikiwa na rafiki yangu Mwinshehe.

Tulipofika, tulistaajabu kukuta nyumba iko juu ya mbuyu.

Tukakaribishwa ndani, sakafu ulikuwa ni ya mbao na kuna baadhi ya sehemu zilikuwa na uwazi kiasi kwamba unaweza ukadumbukia na kudondokea huko chini.

Ukumbini tulikuwa watatu, Mimi, Mwinshehe na Dada aliyetupokea.

Vyumbani kulionekana kuna watu, ila Dada akatwambia tusubiri atuitie mwenyeji wetu.

Baada ya muda si mrefu mwenyeji wetu akaja, tukawa tukipiga stori kadha wa kadha, na miongoni mwa swali nililomuuliza, kwanini amejenga nyumba juu ya mbuyu?

Basi akatoweka, tukabaki wenyewe sebuleni. Baada ya kitambo akaja Tena yule Dada wa kwenye Ile nyumba, akatwambia "Bonekagi" nikamwambia rafiki yangu Mwinshehe, tumekaribishwa chakula, twende tukanawe.

Basi yule Dada alikuwa mbele, na sisi tunamfuata, akatuzungusha sehemu nyingine ya nyumba Ile.

Njaa Kali ilikuwa ikituuma, hakukuwa na chakula ila watu waliojazana ukumbini wakifanya mdahalo.

Akainuka bwana mmoja ambaye alikuwa amevaa kola ya kichungaji, akaongea maneno yasiyoeleweka.

Aliyekuwa anaongoza mdahalo ule akasema yule mchungaji anataka kujifunza uchawi, Basi kukatokea zogo kali. Kumbe mle ukumbuni kulikuwa na watu wengine sio washirikina (Mimi na watu wengine).

Basi kuna binti mmoja ana Kama miaka 20 hivi akasema nyie watu msioamini Kama sisi tuna nguvu, ngoja niwapeni somo dogo, Basi akalisogelea shina la mbuyu, sehemu ambayo haina uwazi, shimo, wala tobo, Kisha akakizamisha kiwiliwili chake chote ndani ya shina lile, Kisha kiwiliwili Cha mwili ule kikatokea upande pili. Tukastaababu sana, nikashtuka usingizini na kwenda kuiweka simu yangu kwenye chaji.

Nikasali, na nikarudi kulala.

Sehemu ya pili, miuzauza na miyeyusho inaendelea.

Basi niliporudi tena kulala, nikaanza kuota ndoto Tena, mazingira ya ndoto yalikuwa yaleyale. Utisho na mandhari ya kuogopesha juu ya mbuyu.

Akanitokea Kissendi akiwa na mwenzake A Man With No Tittle, wakaniambia niwasimulie nimeota nini?

Nikawasimulia ndoto nzima kuanyzia kule kwenye ndege hadi tunafika kwenye nyumba iliyopo kwenye mbuyu.

Kissendi akaanza kunihoji, nyumba ilikuwa kwenye mbuyu wa aina ukubwa gani? Mchanga, saizi ya kati au mkubwa?

Nikamjibu kuwa ni mbuyu mkubwa, Kissendi, akainamisha kichwa, akasikitika akasema, Hilo ni tatizo kubwa sana, na ili kulitatua, inabidi uung'oe huo mbuyu na mizizi yake pia, usibaki hata mmoja.

Nikabaki pale nawaza, wao kina Kissendi na A MAN WITH NO TITLE wakaondoka, nikajisemea moyoni, Mimi siujui uchawi, huu mbuyu wa kichawi nitaung'oaje?

Basi nikaenda kuwekwa kwenye chumba kina watoto wa miaka kati ya 13-15 Kama sita hivi, wanakula nyama za watu.

Mimi akili yangu na ufahamu wangu wote nimeuelekeza kwenye kuung'oa mbuyu.

Basi nikaanza kuiita damu ya YESU, nikaiita hiyo damu ya YESU sana, nikaanza kung'oa madhabahu zote za kichawi na mizi ya ule mbuyu, nikawa nasema damu ya YESU, damu ya YESU, wale watoto waliokuwa wakila nyama za watu wakaja kunipigia magoti. Nikashtuka nikijiuliza hii ni ndoto ya namna gani?

Sijawahi kuota ndoto Kisha ikaendelea.

NB:-
Mnisamehe ndugu zangu, sikuwepo hewani kwa miaka mingi, niliamua kuwa msomaji tu, baada ya kuminywa kwa Uhuru wa kutoa maoni yetu.

Nimerudi, asanteni
Aaaah!! Inaonekana unamuogopa sana mzee Kissendi. Huwa namuelewa sana huyu mzee. Achana na A MAN WITH NO TITLE mfia dini
 
Tafsiri yake.

Mbuyu ni mashine. Uko juu ya mbuyu maana yake umekalia mashine.

Wachawi waoakuzunguka kwenye mbuyu hayo ni mavuzi ya mashine.

Kwa hiyo tafsiri ya ndoto yako ni kwamba either utapigwa mashine hivi karibuni ama siku hiyo ulipigwa mashine ya kueleweka kabla hujalala.
 
Siku nyingine ukiota ndoto unaona haieleweki halafu ndefu namna hii jitikise hadi uamke☹
 
Nivita/ mapigano ya kiroho na umeshinda ama kuna jamno baya ilikuwa likupate umeliepuka
mie naotaga mara kwa mara nakimbiaa sana alafu baada ya mda napaa basi naweza kupaa juu kama ndege nikiizunguka dar nzima sjui ina maana gani,hii ndoto mpka nimeizoea sasa leo nilikuwa benjamin mkapa pale posta mpya juu kabisa gorofani basi nusura kidogo nijirushe gorofani ili nipae mungu tu kama alinkumbusha nikarud fasta chini
 
Una maadui pande nyingi lakini una nguvu kuwazidi.. Siku nguvu zikikupungua hutaweza tena kupaa
 
Back
Top Bottom