Naomba tafsiri wanasheria

Naomba tafsiri wanasheria

Hiyo advocates act inakataza nini? Kutangaza huduma unazotoa au? Na kama inakataza kutangaza huduma unazotoa, watu watajuaje sasa kuwa wewe ni 'wakili msomi' na unatoa huduma hizi na zile?
S 47. Acting as tout prohibited...ya Advocates Act
Any person who, on behalf of any advocate, or for his own account, acts as a tout shall be
liable to a fine not exceeding one thousand shillings and to imprisonment for a term not
exceeding six months.
in short bongo hawaruhusiwi kujipiga promo kama vile "wakili msomi" ,"wakili matata" wakili asieshindwa kesi, international lawyer..etc etc...
 
nitalipa tuu iyo fine ya buku then naachiwa..lyf gud bhana
 
ha.ha.ha Nilikua nimenuna sasa wadau mmenichekesha sasa naweza kwenda lala kwa aman.sheria ngumu bhaana chezea.ha.ha.ha mtu anakomaa kumwaga material kumbe "kamba."..any way ndo kujifunza.
 
S 47. Acting as tout prohibited...ya Advocates Act
Any person who, on behalf of any advocate, or for his own account, acts as a tout shall be
liable to a fine not exceeding one thousand shillings and to imprisonment for a term not
exceeding six months.
in short bongo hawaruhusiwi kujipiga promo kama vile "wakili msomi" ,"wakili matata" wakili asieshindwa kesi, international lawyer..etc etc...

Alaa, kumbe kinachokatazwa ni kujipigia promo kwa dizaini hiyo!

Mi nilidhani huruhusiwi kabisa kutangaza aina ya huduma unazotoa ndo maana nikashangaa maana kama unatoa huduma na unakatazwa kabisa kujitangaza, sasa hao unaowatolea huduma watajuaje?

Kwa hiyo, nilivyoelewa ni kwamba, kujitanganza kwa majivuno kama hayo uliyoyatolea mifano ni ndo inakatazwa lakini kujitanganza kwa kawaida tu ni rukhsa, siyo?
 
ha.ha.ha Nilikua nimenuna sasa wadau mmenichekesha sasa naweza kwenda lala kwa aman.sheria ngumu bhaana chezea.ha.ha.ha mtu anakomaa kumwaga material kumbe "kamba."..any way ndo kujifunza.

Ugumu wa sheria ni nini?
 
sisi tumerisi sheria zi... ndo apo Tutarudi kwenye Indian Laws
Tumerithi, sio "tumerisi." Hapo, sio "apo."

Hivi mwanasheria gani hujui hata ku spell neno numerithi, umetoka wapi, Chikwawa, Malawi?
 
Naona mkuu kwa chini umejipiga promo wakiki msomi wakati advocates act inakataza mkuu..touting hiyo mkuu sijui nimepatia mana nilisomaga long time kinoma

Lyamber heshima mbele mkuu....si unajua mambo ya kufukuza gari la wagonjwa
 
Back
Top Bottom