Naomba tafsiri ya kisheria kuhusu mtumishi wa umma

Naomba tafsiri ya kisheria kuhusu mtumishi wa umma

Alfa Bon

Member
Joined
May 1, 2017
Posts
22
Reaction score
19
Je? Polisi, mwanajeshi, TISS, Mbunge, DC, RC sio watumishi wa umma?
 
Sheria ya utumishi Wa umma imeelekeza kwamba haiwahusu Jwtz,Polisi Na magereza
 
Back
Top Bottom