Naomba tafsiri ya ndoto hii - nimejikuta katikati ya Freemason assembly

sem2708

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,955
Reaction score
5,162
Majuzi majira ya saa mbili asubuhi ( wakati sikukuu za pasaka), nilipitiwa na usingizi nkiwa nimelala na mtoto wangu mdogo wa kiume alikuwa pembeni yangu.

Mara nkaota nko kwenye ukumbi mithili ya theatre za kumbi za cinema kukiwa kumejaa watu wa heshima japo sikuwatambua

Katika kuwaza kwangu nkaelewa kuwa ule mkutano ni kusanyiko la freemason.

Nkawaja najiuliza nimeingiaje humu? Kiufupi mimi ni devoted Christian, au kwa jina lingine born again Christian.

Mara ghafla kiongozi wa kusanyiko akawa anapita kama kuwakaribisha wageni, na nilihisi kuwa mimi peke yangu ndio mgeni kwa jinsi watu walivyokuwa wananiangalia.

Alipofika kwangu, akanipa mkono, nilipomshika, ghalfla nkaona anabadilika sure, na akuwa kama mlemavu, yaani anakuwa kama anamomonyoka, anaishiwa nguvu na kutaka kuanguka, wakati huo huo nkasikia bila ridhaa yangu naomba ( kwa Roho Mtakatifu, yaani kunena kwa lugha), na nkastuka, mtoto wangu ananiambia baba mbona unaomba? Yaani baada ya kuamka.

Bado najiuliza why ? Any implications? Tafadhali anaejua tafsiri yake anisimulie , ahsanteni
 
Ndoto saa 2 asubuhi labda itakuwa na maana ila me naamini hizo zilikuwa fikra zako tu kwa upande wangu ndoto huwa naziamini zile za saa 8 mpaka saa kumi usiku basi..
 
Majuzi majira ya saa mbili asubuhi ( wakati sikukuu za pasaka), nilipitiwa na usingizi nkiwa nimelala na mtoto wangu mdogo wa kiume alikuwa pembeni yangu.

Mara nkaota nko kwenye ukumbi mithili ya theatre za kumbi za cinema kukiwa kumejaa watu wa heshima japo sikuwatambua

Katika kuwaza kwangu nkaelewa kuwa ule mkutano ni kusanyiko la freemason.

Nkawaja najiuliza nimeingiaje humu? Kiufupi mimi ni devoted Christian, au kwa jina lingine born again Christian.

Mara ghafla kiongozi wa kusanyiko akawa anapita kama kuwakaribisha wageni, na nilihisi kuwa mimi peke yangu ndio mgeni kwa jinsi watu walivyokuwa wananiangalia.

Alipofika kwangu, akanipa mkono, nilipomshika, ghalfla nkaona anabadilika sure, na akuwa kama mlemavu, yaani anakuwa kama anamomonyoka, anaishiwa nguvu na kutaka kuanguka, wakati huo huo nkasikia bila ridhaa yangu naomba ( kwa Roho Mtakatifu, yaani kunena kwa lugha), na nkastuka, mtoto wangu ananiambia baba mbona unaomba? Yaani baada ya kuamka.

Bado najiuliza why ? Any implications? Tafadhali anaejua tafsiri yake anisimulie , ahsanteni
Utakuwa ulitoka kuangalia movie ya kutisha (horror movie) kabla ya kulala. Siku nyengine baada ya kuangalia horror movie na kabla ya kulala kunywa maji yaliyooshea mchele glass Moja! Inasaidia sana kuzuia ndogo kama hizo!
 
Majuzi majira ya saa mbili asubuhi ( wakati sikukuu za pasaka), nilipitiwa na usingizi nkiwa nimelala na mtoto wangu mdogo wa kiume alikuwa pembeni yangu.

Mara nkaota nko kwenye ukumbi mithili ya theatre za kumbi za cinema kukiwa kumejaa watu wa heshima japo sikuwatambua

Katika kuwaza kwangu nkaelewa kuwa ule mkutano ni kusanyiko la freemason.

Nkawaja najiuliza nimeingiaje humu? Kiufupi mimi ni devoted Christian, au kwa jina lingine born again Christian.

Mara ghafla kiongozi wa kusanyiko akawa anapita kama kuwakaribisha wageni, na nilihisi kuwa mimi peke yangu ndio mgeni kwa jinsi watu walivyokuwa wananiangalia.

Alipofika kwangu, akanipa mkono, nilipomshika, ghalfla nkaona anabadilika sure, na akuwa kama mlemavu, yaani anakuwa kama anamomonyoka, anaishiwa nguvu na kutaka kuanguka, wakati huo huo nkasikia bila ridhaa yangu naomba ( kwa Roho Mtakatifu, yaani kunena kwa lugha), na nkastuka, mtoto wangu ananiambia baba mbona unaomba? Yaani baada ya kuamka.

Bado najiuliza why ? Any implications? Tafadhali anaejua tafsiri yake anisimulie , ahsanteni
Hahahah Yaani Mawazo yako Kuhusu Freemason Ni Mafinyu sana na Freemason yenyewe Ilivyo 😀😀
 
Back
Top Bottom