Naomba tafsiri ya ndoto ya kuokota mayai

Naomba tafsiri ya ndoto ya kuokota mayai

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,580
Reaction score
1,773
Habar wakuu,

leo nimeota karibu na ninapoishi nyumba karibia na kwa jirani yangu kuna sehemu ambayo kuna majani majani pamejificha, sasa hapo kuna mayai mengi kweli na mengine hadi yamechafuka na udongo, ya muda mrefu sana mimi nimeenda nikawa nayachukua naweka kwenye chombo ili nikapike nile na ugali.

Anayeelewa kidogo tafsiri yake wakuu.

Asanteni.


Mshana Jr ukuje hapa
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji120]
Nadhani ni ndoto tu huenda hujala mayai mda mrefu na unatamani mpaka unayaotea ndoto, sasa nashaurije nunua tray zima pika na ugali wakutosha, then ndyo ile wanaita "dream has come true" enjoy[emoji1] [emoji1]
 
Mlefu,adi,jilani bro umeishia darasa la ngapi?
habar wakuu, leo nmeota karibu na nnapoishi nyumba yanyumba yaan karibia nakwajilani yangu kuna sehemu ambayo kuna majani majani pamejificha, sasa apo kuna mayai mengi kweli namengine adi yamechafuka na udongo, yamuda mlefu sana mimi nmeenda nikawa nayachukua naweka kwenye chombo ili nikapike nile na ugari.
Anayeelewa kidogo tafsil yake wakuu

asanten.


Mshana Jr ukuje hapa
 
Back
Top Bottom