Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njaaa tuNadhani ni ndoto tu huenda hujala mayai mda mrefu na unatamani mpaka unayaotea ndoto, sasa nashaurije nunua tray zima pika na ugali wakutosha, then ndyo ile wanaita "dream has come true" enjoy[emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] yaani ukiwa na njaa bana unaota ndoto za vitu vizuri zuriii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njaaa tu
Muhurumie tu mkuu, ndoto imemchanganya kaamka asubuhi hajakuta yai hata moja kama alivyoota ndotoni si mchezo[emoji1] [emoji1]Ye hajasema ugali kasema "ugari" najiulizi ugari ni nini?
Mtabiri naomba na mimi nitabirie kama ulivomtabiria mtu hapo juu....Muhurumie tu mkuu, ndoto imemchanganya kaamka asubuhi hajakuta yai hata moja kama alivyoota ndotoni si mchezo[emoji1] [emoji1]
Hahaa, wewe umeota ndoto gani! Tuanzie hapo kwanza [emoji1]Mtabiri naomba na mimi nitabirie kama ulivomtabiria mtu hapo juu....
Mimi kuna kaka angu aliota nimekuwa mweupe sana kama najichubua....inamaanisha nini....Hahaa, wewe umeota ndoto gani! Tuanzie hapo kwanza [emoji1]
Kwa kutumia mfumo wa logic nahisi,Habar wakuu,
leo nimeota karibu na ninapoishi nyumba karibia na kwa jirani yangu kuna sehemu ambayo kuna majani majani pamejificha, sasa hapo kuna mayai mengi kweli na mengine hadi yamechafuka na udongo, ya muda mrefu sana mimi nimeenda nikawa nayachukua naweka kwenye chombo ili nikapike nile na ugali.
Anayeelewa kidogo tafsiri yake wakuu.
Asanteni.
Mshana Jr ukuje hapa
kimavuzi wewekichupi wewe
Yai ni chanzo cha uhai... Likiwa zima litaatamiwa na kutotoa... Likiwa bovu halitatotoa litakuwa viza...Habar wakuu,
leo nimeota karibu na ninapoishi nyumba karibia na kwa jirani yangu kuna sehemu ambayo kuna majani majani pamejificha, sasa hapo kuna mayai mengi kweli na mengine hadi yamechafuka na udongo, ya muda mrefu sana mimi nimeenda nikawa nayachukua naweka kwenye chombo ili nikapike nile na ugali.
Anayeelewa kidogo tafsiri yake wakuu.
Asanteni.
Mshana Jr ukuje hapa
mkuu nimayai yakuku yaliotagwa muda namoja nlilivunja kwabahati mbaya lilikiwa nizima lakini yalikuwa nje yamechafuka yamekaa muda mlefuYai ni chanzo cha uhai... Likiwa zima litaatamiwa na kutotoa... Likiwa bovu halitatotoa litakuwa viza...
Ndoto ya yai ina ujumbe mahsusi kwenye maisha... Kuna mambo yako kwenye pipeline lakini bado haijulikani kama yatafanikiwa ama la.... Na kufanikiwa kwake kunaweza kuwa kwa muda mfupi kisha likatokea balaa..
Ni mayai sawa lakini hujajua ni mayai ya nini kwakuwa hata nyoka na kenge wanataga
Basi kuna jambo jema linakaribia kutiki... Lakini yai linaweza kuvia ama kupasukamkuu nimayai yakuku yaliotagwa muda namoja nlilivunja kwabahati mbaya lilikiwa nizima lakini yalikuwa nje yamechafuka yamekaa muda mlefu
[emoji2] [emoji2]Muda si mrefu utatekwa na wasiojulikana na watakubinya mbupu