Nadhani ni ndoto tu huenda hujala mayai mda mrefu na unatamani mpaka unayaotea ndoto, sasa nashaurije nunua tray zima pika na ugali wakutosha, then ndyo ile wanaita "dream has come true" enjoy[emoji1] [emoji1]
habar wakuu, leo nmeota karibu na nnapoishi nyumba yanyumba yaan karibia nakwajilani yangu kuna sehemu ambayo kuna majani majani pamejificha, sasa apo kuna mayai mengi kweli namengine adi yamechafuka na udongo, yamuda mlefu sana mimi nmeenda nikawa nayachukua naweka kwenye chombo ili nikapike nile na ugari.
Anayeelewa kidogo tafsil yake wakuu
asanten.
Mshana Jr ukuje hapa
Ni kanga hao bila shaka hutaga vichakani na kuyaacha hukohuko