Naomba tafsiri ya ndoto ya kuokota mayai

Kwa kutumia mfumo wa logic nahisi,
huenda unamendea wanawake hapo mtaani au mali isiyohalali ndio maaana ukaona kichaka na uchafu katika mayai,nakushauri acha kama kuna ukaribu katika nilichohisi.
Nenda katafute kwingine kabisa ila sio hapo..Ubongo una tabia ya kutengeneza kitu kisicho na uhalisia ila kinaelekeana na kile kitu halisi kinachokusumbua au unachokitaka
NB: Mimi sio Kalumanzila nimetumia concept za kawaida za kisayansi.
 
Yai ni chanzo cha uhai... Likiwa zima litaatamiwa na kutotoa... Likiwa bovu halitatotoa litakuwa viza...
Ndoto ya yai ina ujumbe mahsusi kwenye maisha... Kuna mambo yako kwenye pipeline lakini bado haijulikani kama yatafanikiwa ama la.... Na kufanikiwa kwake kunaweza kuwa kwa muda mfupi kisha likatokea balaa..
Ni mayai sawa lakini hujajua ni mayai ya nini kwakuwa hata nyoka na kenge wanataga
 
mkuu nimayai yakuku yaliotagwa muda namoja nlilivunja kwabahati mbaya lilikiwa nizima lakini yalikuwa nje yamechafuka yamekaa muda mlefu
 
mkuu nimayai yakuku yaliotagwa muda namoja nlilivunja kwabahati mbaya lilikiwa nizima lakini yalikuwa nje yamechafuka yamekaa muda mlefu
Basi kuna jambo jema linakaribia kutiki... Lakini yai linaweza kuvia ama kupasuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…