Naomba tafsiri ya neno 'exhaust fan" kwa Kiswahili

hyo ni feni ya kutoa upepo kwa nje mfano chooni kule kuna feni zinafungwa kutoa harufu ya mavi au mkojo au maji ya kuogea kwa nje au juu au pbe i umeewewa au
 
Ninaifahamu exhaust fan inafanana vipi na ina kazi gani. Natafuta tafsiri nzuri ya Kiswahili.
 
Kama haipo BAKITA usitegemee kuikuta huko CHATGPT .
 
Kataupepo ya kutolewa nje.

Kwanini unahitaji hii tafsiri au lengo lako ni kutuwasilishia jibu la Akili mnemba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…