Ikaria Member Joined Jul 17, 2019 Posts 93 Reaction score 238 Nov 23, 2021 #1 Naomba tafsiri ya 'Open Day' kwa Kiswahili.
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Dec 7, 2021 #2 Siku ya ufunguzi,siku ya maonyesho, Siku ambayo watu huruhusiwa kuingia na kukagua au kuangalia jambo ambalo hua sio rahisi kuruhusiwa katika siku za kawaida, Wataalamu watakuja kutoa ufafanuzi zaidi.
Siku ya ufunguzi,siku ya maonyesho, Siku ambayo watu huruhusiwa kuingia na kukagua au kuangalia jambo ambalo hua sio rahisi kuruhusiwa katika siku za kawaida, Wataalamu watakuja kutoa ufafanuzi zaidi.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Dec 28, 2021 #3 Siku ya ufunguzi au uzinduzi