Doltyne
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 440
- 173
Wana JF, Habari za majukumu.
Kuna utafiti nafanya kuhusu Bank Charges. Sasa Nahitaji Tariff Guides za Banks Mbali mbali za TZ, So far nimeshapata za bank kama Tano hivi. Sasa Kwa Yeyote anayeweza kunisaidia kupata Hii document Naomba anitumie kwenye email hii dotlyne@gmail.com.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
NB: Hii document, ni haki yetu wateja kupata. Lakini Banks nyingi sana zina act kama hii ni nyaraka ya siri mno. Nimepita kwenye branches nyingi sana nimesumbuliwa na wengine wananijibu kirahisi kabisa "Hatuwezi KUKUPA"....