Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
- #21
Mkuu asante sana aisee. Hii imeshiba mno.
Kwa mchanganuo huu, naamini kabisa kwamba lazima utakuwa na sample ya andiko la biashara, hapa umenipa hints tu mkuu, nahitaji zile nyama za ndani sasa, ili nibadilishe baadhi yake tu kwa minajili ya kuendana na wazo langu.
Please assist!
magere.mgoma@gmail.comNitumie email yako nikutumie hapa naona nashindwa
Asante sana mkuu.