Navy seal soldier
Senior Member
- Oct 6, 2019
- 148
- 276
Habari wanajamvi naomba msaada kwa wabobezi na wanaofanya biashara hii ya kuchukua nguo za mitumba kwa kupoint suruali na blouses za kike pale sokoni memorial moshi,binafsi ni mgeni Kanda hii ya kaskazini na natarajia kuanza kufanya biashara io ya nguo Kali za mitumba za kike.
Naomba kufahamishwa machimbo ya kuzipata hizo nguo pale memorial sokoni
Je kwa kupoint naweza kuchukua surual nzuri ya kike casual au skin kwa shingapi?
Blouse nzuri kwa kupoint naweza uziwa shingapi?
Kama Kuna mtu anaefanya biashara hi ya kuchukua nguo pale kwa sasa ningeomba anipe maelekezo kwa msaada wa taarifa Zaidi.
Ni hayo wanajamvi. Naomba kuwasilisha.
If we all help one another everybody wins
#daone