Naomba tujadili hili kwa maana huko mbeleni litakuwa shida

Heijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
5,466
Reaction score
8,937
Nimeona nchi nyingi zimeanza kuwapa uraia watu tunaosema special talent wenye elimu za juu sijui ma Dr bingwa na wengine muhimu wafikie vigezo walivyojiwekea.

Jambo hili nchi za Ulaya au USA ilikuwa na mpaka leo unapata uraia kwa njia nyingi na haibagui mtu.

Dhumuni la kuleta hii issue hapa tumeanza kuona nchi ambazo hawakuwa wakitoa uraia hata uishi mpaka uzeeke watakutumia ukishakwisha unafungasha virago.

Mfano UAE na Saudi Arabia wameanza kuwapa uraia watu wenye special talents na hata Qatar, je hili sio kutumia utajiri wao kuangamiza mataifa maskini labda wamewasomesha hao watu leo unawachukuwa sababu ya uwezo wako wa kiuchumi ili wao wabaki juu na na talents people na wengine vichwa maji mbaki hukohuko kwa mujibu ya wao.

Sisemi kwamba sisi hatuna akili ila kwa mujibu wao inakuwa ni kama zile shule wanachukua top cream halafu kila leo wanakuwa shule bora. Hawa jamaa kweli wana nia nzuri na wengine?

Kungekuwa na system fair mtu kuomba uraia kwa wote kwa kukizi vigezo sawa lakini wao kigezo ni uwe special ili iweje kwa nchi zingine wasomeshe mwisho wa siku wabebe tu.

Najua kila mtu anataka maisha bora na mtu kuomba uraia nchi nyingine sio shida lakini isiwe unabeba cream tu weka system kama za USA na nchi zingine za West.

Hii ya nchi za kiarabu sikupenda na UAE sasa mpaka big investor wanawapa sasa ukija huku kwetu hata Dangote na pesa zote alizowekeza analipa kila miaka miwili pesa zaidi ya dola 4000 kwa permit tukifanya mchezo game hii itatushinda ni wakati wa kuangalia investment policy and dual citizenship au uko mbele patakuwa pagumu.

Kuna haja kama nchi kujitathmini sera zetu za uwekezaji kama tunataka kuvuta watu wenye pesa waje ikiwa hizi nchi nchi zinapesa mara 100 ya kwetu lakini wanajiandaa na 50 years ushindani ujao.

Tubadilike kabla kujikuta tumechelewa dunia inabadilika haraka.
 
SASA KAMA NCHINI HAWAITAJIKI SI NDIO WANAHAMIA WANAKOITAJIKA HAMKAWII KUWAITA KAGAIDI

Umeeleweka mkuu..shida ni wataalamu wetu wanakuwa ni chenga sana....hasa hao madaktari..daktari wa Tanzania ni ngumu kufanya kazi nchi kama marekani...wana clerk pumba tu..wanachukua history ya mgonjwa hovyohovyo tu ..diagnosis nyingi za kubahatisha hawana tofauti na waganga wa jadi wanaopiga ramli...ni vituko juu ya vituko
 
Back
Top Bottom