Naomba tujadili kwa undani kuhusu 'ukweli'

Naomba tujadili kwa undani kuhusu 'ukweli'

ukweli anaujua muhusika mwenyewe na ni ngumu kujua kama unaambiwa ukweli.
Ila mimi nina janja yangu moja hivi, kama nataka kupunguza uwezekano wa kudanganywa basi siulizi kitu kwa sms au call ni face to face ili kumpunguzia muda wa kufikiri na kudanganya huku unasoma facial expression yake
 
Ukweli hauna uhusiano na nini MTU anasema au hasemi. Ukweli unabaki kuwa ukweli hata kama Tanzania nzima wakasema kinyume na ukweli ulivyo.
Mawazo yetu au matendo yetu hayaathiri ukweli wa jambo lolote.
"Absolute Truth" hakuna namna nyingineo ya kuufanya ukweli usiwe ukweli.
 
Back
Top Bottom