ukweli anaujua muhusika mwenyewe na ni ngumu kujua kama unaambiwa ukweli.
Ila mimi nina janja yangu moja hivi, kama nataka kupunguza uwezekano wa kudanganywa basi siulizi kitu kwa sms au call ni face to face ili kumpunguzia muda wa kufikiri na kudanganya huku unasoma facial expression yake