wewe upo vipi?
mnene?makalio makubwa?mrefu??????
sio langu.topic inahusu phisical appearanceTB mhhh hapo sasa una lako
The Boss yuko kama wewe, hivi yule mgeni wetu ameishaonekana tena?? Lolwewe upo vipi?
mnene?makalio makubwa?mrefu??????
The Boss yuko kama wewe, hivi yule mgeni wetu ameishaonekana tena?? Lol
Mhhhh!!!.......Mimi napita tu..............:car:
hawezi kuwa kama mimi
mimi nna ndizi,yeye ana sambusa lol
mgeni yupi huyo?nna wageni wengi lol
Imagination na Infatuation kwa mambo kama haya ni mbaya maana you expect the unexpected
hawezi kuwa kama mimi
mimi nna ndizi,yeye ana sambusa lol
mgeni yupi huyo?nna wageni wengi lol
nimeipenda hii ya ndizi na sambusa
uwai kurud lakin..
Aiseee!! Wewe ni matatizo matupu lol!!hawezi kuwa kama mimi
mimi nna ndizi,yeye ana sambusa lol
mgeni yupi huyo?nna wageni wengi lol
Hivi kuna uhusiano gani kati ya umbile la nje (physical built up/morphology) la mwanadamu na matamanio ya kingono? Huwa nashangaa sana jinsi binadamu anavyojenga sababu na anavyo halalisha matamanio. Vitu kama makalio, chuchu, macho, miguu kwa (wanawake) au kifua, urefu, ufupi rangi n.k, vina uhusiano gani katika utamani kingono? Utakuta mwanaume kwa mfano amemuona mwanamke mwenye makalio makubwa yakampelekea kutamani kuwa naye kingono. Je ni kweli kwamba tunachokitamani ndicho tunachotarajia kukipata au kuna falsafa nyingine hapa?
Tusaidiane hapa
heheeee TB bwana mie niko kama namba moja, na wala si mrefu
wewe unaangukia wapi hapo?