Naomba tujadiliane hili

Naomba tujadiliane hili

Naona halafu ni Avatar tuu wala sio halisi
Na inaelekea huyu ndio huwa anazinguliwa na muonekano wa nje tuu
walaaaa. Mi nilikua na taka picha ya mwanamke awe na bunduki ya aina fulani na nilipata picha mbili. naziweka zote hapo. Mwishowe nikaamua nichague hii hapa.

russian roulette.jpgimages (1).jpg images (2).jpg
 
Hata mi nashangaa....wakati ladha ya biya inajulikana....wanahangaika na kuweka mbwembwe kibao kwenye chupa....

Conclusively.....packaging matters a lot!


kwa mfano uko mahali fulani, akapita mdada (na assume wewe ni mwanaume), amevaa kimini, ana miguu iliyojazia vyema, ukamuona, ukaupenda ule mguu wake, ukatamani kuwa naye kwa sababu ya ule mguu wake (mzuri). Je utamuomba mguu au utaomba ki2 kingine?
 
kwa mfano uko mahali fulani, akapita mdada (na assume wewe ni mwanaume), amevaa kimini, ana miguu iliyojazia vyema, ukamuona, ukaupenda ule mguu wake, ukatamani kuwa naye kwa sababu ya ule mguu wake (mzuri). Je utamuomba mguu au utaomba ki2 kingine?

Pale umeutamani ule mguu ila ule mguu ni kivutio cha kitu kingine maana unaimagine ana mguu mzuri kiasi hiki je kwingine atakuwaje
 
Fikiria ni kama chakula alafu kisiwe na chumvi au chachandu.


Hapa nafikiria kuwa kama umevutiwa na kiungo fulani let say macho, then basi hayo macho ndo chakula chenyewe sasa kwa nini ule kitu ambacho sicho ulichokitamani? Hope umeelewa ninachomaanisha
 
Pale umeutamani ule mguu ila ule mguu ni kivutio cha kitu kingine maana unaimagine ana mguu mzuri kiasi hiki je kwingine atakuwaje

Na kwa nini huko kwingine kusiwe mgongo au kichwa? Napata shida kuelewa kwa kwel
 
Wanawake nao wanapenda wanume warefu, weupe, wenye vifua vya wanyanyua vyuma kwa mbali, wenye ndevu, wanene wa wastani, wasiokuwa na vitambi, wenye tumbo lililogawanyika mara tatu hadi nane.

Je wao wanpendea nini hapo kingono?
 
Na kwa nini huko kwingine kusiwe mgongo au kichwa? Napata shida kuelewa kwa kwel
Unashindwa kuelewa sababu hutaki kuelewa. Umesha ambiwa ni sababu ukiona kiungo fulani (******, maziwa, mapaja, kiuno etc) ni sababu wanalink viungo hivyo na sex. Na the reason why wanalink hivyo ni sababu mwili wenye kuvutia una chances nyingi zaidi za kuzaa mtoto au za kufanikisha maisha ya next generation.
 
sio langu.topic inahusu phisical appearance
na yeye atupe physical appearance yake tuone labda anazungumza from personal experience

The boss mbona unapindisha mada....hajataka ujue alivyo!
 
Hivi kuna uhusiano gani kati ya umbile la nje (physical built up/morphology) la mwanadamu na matamanio ya kingono? Huwa nashangaa sana jinsi binadamu anavyojenga sababu na anavyo halalisha matamanio. Vitu kama makalio, chuchu, macho, miguu kwa (wanawake) au kifua, urefu, ufupi rangi n.k, vina uhusiano gani katika utamani kingono? Utakuta mwanaume kwa mfano amemuona mwanamke mwenye makalio makubwa yakampelekea kutamani kuwa naye kingono. Je ni kweli kwamba tunachokitamani ndicho tunachotarajia kukipata au kuna falsafa nyingine hapa?

Bombu my dear
Mtu huweza kuvutiwa na chakula flani kutokana na harufu na hivyo akavutiwa kukila kwa kujua harufu hiyo nzuri ni sawa na utamu wa chakula chenyewe...na si wote huvutiwa na harufu ya nyama,vitunguu,pilipili, karoti n.k.......vivyo hivyo hata kwenye mabo hayo mtu huvutiwa na
maumbile amboyo ni kama harufu ya chakula.
Waweza vutiwa kuingia hotel fulani kutokana na mazingira yake ya nje na hvyo ukajijengea kuwa na ndani iko the same kama nje
 
Back
Top Bottom