Yeah, nilibadili mara ya kwanza ila nikaona imekaa sexual zaidi. Huoni gun, unaona chu...pi. Nimebadili tena nimeweka hiyo ya black and white. How do you like it?
walaaaa. Mi nilikua na taka picha ya mwanamke awe na bunduki ya aina fulani na nilipata picha mbili. naziweka zote hapo. Mwishowe nikaamua nichague hii hapa.
View attachment 34620View attachment 34621 View attachment 34622
Hata mi nashangaa....wakati ladha ya biya inajulikana....wanahangaika na kuweka mbwembwe kibao kwenye chupa....
Conclusively.....packaging matters a lot!
kwa mfano uko mahali fulani, akapita mdada (na assume wewe ni mwanaume), amevaa kimini, ana miguu iliyojazia vyema, ukamuona, ukaupenda ule mguu wake, ukatamani kuwa naye kwa sababu ya ule mguu wake (mzuri). Je utamuomba mguu au utaomba ki2 kingine?
Fikiria ni kama chakula alafu kisiwe na chumvi au chachandu.
Unashindwa kuelewa sababu hutaki kuelewa. Umesha ambiwa ni sababu ukiona kiungo fulani (******, maziwa, mapaja, kiuno etc) ni sababu wanalink viungo hivyo na sex. Na the reason why wanalink hivyo ni sababu mwili wenye kuvutia una chances nyingi zaidi za kuzaa mtoto au za kufanikisha maisha ya next generation.Na kwa nini huko kwingine kusiwe mgongo au kichwa? Napata shida kuelewa kwa kwel
sio langu.topic inahusu phisical appearance
na yeye atupe physical appearance yake tuone labda anazungumza from personal experience
Hivi kuna uhusiano gani kati ya umbile la nje (physical built up/morphology) la mwanadamu na matamanio ya kingono? Huwa nashangaa sana jinsi binadamu anavyojenga sababu na anavyo halalisha matamanio. Vitu kama makalio, chuchu, macho, miguu kwa (wanawake) au kifua, urefu, ufupi rangi n.k, vina uhusiano gani katika utamani kingono? Utakuta mwanaume kwa mfano amemuona mwanamke mwenye makalio makubwa yakampelekea kutamani kuwa naye kingono. Je ni kweli kwamba tunachokitamani ndicho tunachotarajia kukipata au kuna falsafa nyingine hapa?
Bombu my dear
Mtu huweza kuvutiwa na chakula flani kutokana na harufu na hivyo akavutiwa kukila kwa kujua harufu hiyo nzuri ni sawa na utamu wa chakula chenyewe...na si wote huvutiwa na harufu ya nyama,vitunguu,pilipili, karoti n.k.......vivyo hivyo hata kwenye mabo hayo mtu huvutiwa na
maumbile amboyo ni kama harufu ya chakula.
Waweza vutiwa kuingia hotel fulani kutokana na mazingira yake ya nje na hvyo ukajijengea kuwa na ndani iko the same kama nje