Transisco06
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 1,033
- 1,013
Nimesoma bandiko kuhusu china kufungua mtambo wa matumizi ya Thorium kutengeneza clean energy na kupunguza matumizi ya Uranium ambayo inatoa hewa chafu.
Ikumbukwe nchi ya machawa na wanafiki haiwezi kuwaza maendeleo ya sayansi bali huwaza kuchafuana kisiasa na kusahau mambo muhimu katika kuleta maendeleo.Naomba wataalaamu wa sayansi tuangalie namna ya kukaa mbali na wanasiasa tulenge mstakabali wa nchi nje ya wanasiasa,Kuna mashirika kama psssf na mashirika mangine ya kijamii badala ya kujenga magorofa yasiyo na faidia tulenge kujenga Miradi ya kuchakata gesi kutenegeza mbolea na kuleta ajira na tulenge kufanya utafiti wa namna Bora ya uzalishaji wa samaki ziwa Victoria na bahari ya Hindi,Hawa wanasiasa Wazee wa kukopa tuachane nao tulenge kubadirisha jamii.
Kuna namna ya kufanya mambo muhimu kwa kujaribu kuzalisha mazao na kutafuta masoko ya uhakika na naomba tuachane na Hawa.wazee propaganda nyimbo za mitano Tena.
Hawa watu hawafai na ni vichaa sababu hata kubadirisha mfumo wa magari kutoka mafuta kuwa umeme eti tunataka wawekezaji hii ni aibu.