Naomba tujuzane kuhusu ufundi unaoweza kuusomea na ukakulipa vizuri kwa hapa Dar

Naomba tujuzane kuhusu ufundi unaoweza kuusomea na ukakulipa vizuri kwa hapa Dar

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Habari za majukumu wakuu

Naomba tujuzane kuhusu ufundi unaoweza kuusomea na ukakulipa vzr kwa hapa Dar kwa miaka hii ya sasa. Natanguliza shukrani na karibuni kwa mawazo mbali mbali
 
Vp unaweza chukua muda gani kusomea
Ukitaka kujua haraka ulizia fundi mzuri wa umeme ambaye anasifika ongea nae atakupa gharama utakachomlipa utakuwa nae daily akikufundisha hadi uelewe Ila jiandae kuwa unakunywa supu maana huwa hawacha kunywa supu daily na huwa wanawanunulia pia wanafunzi wao, kwakuwa utakuwa unamsaidia kazi hayo ndo malipo yako ya supu
 
Ukienda kujifunzia chuo utachelewa kujua na pia kushika hela sababu unapofundishwa na fundi pindi anapoona umeanza kuiva anakupasia wateja wengine ili watoke haraka hela mnagawana na pia ukitengeneza vizuri mteja anachukua namba zako za simu anahamia kwako
 
Ahsante sana mkuu
Pindi unapokuwa na fundi wako mkuu ilihali umeshaiva Kuna gari ambazo ni toleo jipya ambazo fundi wako zitakuwa zinamtoa nishai so ukisha ziknots unaweza kuchomoka Kama upo kwenda kwa fundi mwingine ambaye ameshazijulia unaenda kuongeza ujuzi na huko tayari utakuwa the best, ongeza ujuzi Kila unapoona kitu kipya,
 
Ukitaka kujua haraka ulizia fundi mzuri wa umeme ambaye anasifika ongea nae atakupa gharama utakachomlipa utakuwa nae daily akikufundisha hadi uelewe Ila jiandae kuwa unakunywa supu maana huwa hawacha kunywa supu daily na huwa wanawanunulia pia wanafunzi wao, kwakuwa utakuwa unamsaidia kazi hayo ndo malipo yako ya supu
Noma sana hii kitu ila hyo kupewa supu inakupa ukomavu wa kutaka kujua labda uwe unajiongeza kwa kuokota siso ndo utapata pesa ila mwanzo utatindua mpk mikono iombe pooo
 
Nenda chuo kwa sababu hata ajira unaweza omba .Ukihitimu kozi yako nenda gereji/workshop ya kisasa ukapate uzoefu.
Usimsahau baba yetu wa sasa 'INTERNET,'na mtoto wake you tube na mwisho maktaba.
 
Soma umeme! Zipo kozi za miezi 3, 6, 12 na kuendelea!
Mmmhhh ww mkuu huo muda unasema wa kusoma ni kwa wale tayari mafundi hvyo wanatafuta cheti ila sio hujui hata earth na moto alafu iwe rahis hivyo sio kweliii mkuu wape na ufanunuz juu ya huo umeme wa magar maana kila siku magar yapo updated alafu ikawe simple hivyo weeeeee
 
Alarm and security system installation
Hii kazi utahitaji vifaa vichache na ukisomea utapata riziki yako vizuri tu

Utaagiza cctv na vifaa vingine toka China na utawafungia watu kwa bei yako
 
Back
Top Bottom