Naomba tujuzane kuhusu ufundi unaoweza kuusomea na ukakulipa vizuri kwa hapa Dar

Naomba tujuzane kuhusu ufundi unaoweza kuusomea na ukakulipa vizuri kwa hapa Dar

Alarm and security system installation
Hii kazi utahitaji vifaa vichache na ukisomea utapata riziki yako vizuri tu

Utaagiza cctv na vifaa vingine toka China na utawafungia watu kwa bei yako
Hii unasomea wapi@black sniper...
 
Hii unasomea wapi@black sniper...

Kwa kweli sina uhakika kwani ni wazo tu ila mimi siishi huko ila najua inalipa sana
Natumaini wadau humu watasaidia
Au tafuta wanaofunga hizo system ufanye nao kazi upate ujuzi
 
Unaweza lakiji sio kwa muda wa miez 3 6 hata mwaka bado kuwa fundiii
Mkuu usimkatishe tamaa hizo fani za short time ya miezi 3,6 hadi 12 zipo. Ukiwa mwepesi hata hiyo miezi 3 mbona mingi sana! Kwa watu wengine mambo ya ufundi ni kipaji hivyo, kuingia darasani ni kama kuactivate tu, machine inawaka yenyewe!
Kama wewe ilikuchukua miaka basi ni wewe lakini wapo waliosomea miezi 3 na huku mtaani mtaani hawalali njaa, mambo megine na uzowefu wa kazi unavipata kadri unavyopiga mzigo na kukumbana na changamoto mbalimbali!
 
Alarm and security system installation
Hii kazi utahitaji vifaa vichache na ukisomea utapata riziki yako vizuri tu

Utaagiza cctv na vifaa vingine toka China na utawafungia watu kwa bei yako
Hii unaweza somea kwa muda gani mkuu
 
Habari za majukumu wakuu. Naomba tujuzane kuhusu ufundi unaoweza kuusomea na ukakulipa vzr kwa hapa dar kwa miaka hii ya sasa. Natanguliza shukrani na karibuni kwa mawazo mbali mbali
Soma refregeration and air conditioning Nenda veta hakikisha umejua vizuri sana. Utakuja kunishukuru
 
Back
Top Bottom