Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Sichagui ufundi mkuu cha muhimu pesaWewe unapenda ufundi gani
Vp unaweza chukua muda gani kusomeaSoma umeme wa magari mkuu hulali njaa
Mwanamke unaweza kusomeaSoma umeme! Zipo kozi za miezi 3, 6, 12 na kuendelea!
Ukitaka kujua haraka ulizia fundi mzuri wa umeme ambaye anasifika ongea nae atakupa gharama utakachomlipa utakuwa nae daily akikufundisha hadi uelewe Ila jiandae kuwa unakunywa supu maana huwa hawacha kunywa supu daily na huwa wanawanunulia pia wanafunzi wao, kwakuwa utakuwa unamsaidia kazi hayo ndo malipo yako ya supuVp unaweza chukua muda gani kusomea
Ahsante sana mkuuUkienda kujifunzia chuo utachelewa kujua na pia kushika hela sababu unapofundishwa na fundi pindi anapoona umeanza kuiva anakupasia wateja wengine ili watoke haraka hela mnagawana na pia ukitengeneza vizuri mteja anachukua namba zako za simu anahamia kwako
Pindi unapokuwa na fundi wako mkuu ilihali umeshaiva Kuna gari ambazo ni toleo jipya ambazo fundi wako zitakuwa zinamtoa nishai so ukisha ziknots unaweza kuchomoka Kama upo kwenda kwa fundi mwingine ambaye ameshazijulia unaenda kuongeza ujuzi na huko tayari utakuwa the best, ongeza ujuzi Kila unapoona kitu kipya,Ahsante sana mkuu
Noma sana hii kitu ila hyo kupewa supu inakupa ukomavu wa kutaka kujua labda uwe unajiongeza kwa kuokota siso ndo utapata pesa ila mwanzo utatindua mpk mikono iombe poooUkitaka kujua haraka ulizia fundi mzuri wa umeme ambaye anasifika ongea nae atakupa gharama utakachomlipa utakuwa nae daily akikufundisha hadi uelewe Ila jiandae kuwa unakunywa supu maana huwa hawacha kunywa supu daily na huwa wanawanunulia pia wanafunzi wao, kwakuwa utakuwa unamsaidia kazi hayo ndo malipo yako ya supu
Mbaya zaidi ukutane na zile kuta za zege utasema yote😁Noma sana hii kitu ila hyo kupewa supu inakupa ukomavu wa kutaka kujua labda uwe unajiongeza kwa kuokota siso ndo utapata pesa ila mwanzo utatindua mpk mikono iombe pooo
Mmmhhh ww mkuu huo muda unasema wa kusoma ni kwa wale tayari mafundi hvyo wanatafuta cheti ila sio hujui hata earth na moto alafu iwe rahis hivyo sio kweliii mkuu wape na ufanunuz juu ya huo umeme wa magar maana kila siku magar yapo updated alafu ikawe simple hivyo weeeeeeSoma umeme! Zipo kozi za miezi 3, 6, 12 na kuendelea!
Sure...na ukiujua na kuelewa ukaaminikaSoma umeme wa magari mkuu hulali njaa
Unaweza lakiji sio kwa muda wa miez 3 6 hata mwaka bado kuwa fundiiiMwanamke unaweza kusomea
Napenda sana fani hiyoUnaweza lakiji sio kwa muda wa miez 3 6 hata mwaka bado kuwa fundiii