Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kumbukeni huyu nu mchezaji bora wa msimu ulioisha ligi kuu ya ivorycoastJana alikua siku yake
Aiseee achaa tuuu ule mpira wa aziz k inabdi man u wakae chini waangalie cha kufanyaaaShida ya ulaya cku hizi makocha ndo wanacheza mpira, unaweza ukawa na super talent lakini kwenye mifumo ya makocha wengi usi-fit ndo maana haishangazi kumuona aziz ki yupo yanga Tanzania halafu fred yupo man u England au inonga yupo simba Tanzania halafu Maguire eti yupo man u England na bila aibu na captain armband kapewa kabisa