Naomba tumjadili Aziz Ki

Naomba tumjadili Aziz Ki

Zimbwe nadhani ndio anajua zaidi tumuulize kuhusu huyu mtu
 
Shida ya ulaya cku hizi makocha ndo wanacheza mpira, unaweza ukawa na super talent lakini kwenye mifumo ya makocha wengi usi-fit ndo maana haishangazi kumuona aziz ki yupo yanga Tanzania halafu fred yupo man u England au inonga yupo simba Tanzania halafu Maguire eti yupo man u England na bila aibu na captain armband kapewa kabisa
 
Aziz Ki ni hatarii sanaa aiseee kile chumaaa na nusuuu...!!
 
Shida ya ulaya cku hizi makocha ndo wanacheza mpira, unaweza ukawa na super talent lakini kwenye mifumo ya makocha wengi usi-fit ndo maana haishangazi kumuona aziz ki yupo yanga Tanzania halafu fred yupo man u England au inonga yupo simba Tanzania halafu Maguire eti yupo man u England na bila aibu na captain armband kapewa kabisa
Aiseee achaa tuuu ule mpira wa aziz k inabdi man u wakae chini waangalie cha kufanyaaa
 
Alikuwa tu na siku nzuri, na akapiga tobo. Vinginevyo ni mchezaji wa kawaida (ndiyo maana ameishia kuchezea Yanga) . ... kama alivyokuwa wa kawaida siku ile akiwa Asec Mimosa wakifungwa 3-1 na Simba, huku yeye mwenyewe akishuhudia live Sakho akifunga goli bora Africa.
 
Back
Top Bottom