Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Maisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
Kwa huo mfano diamond ndo kamfata dada ake. Yaan queen darlin ndo wakwanza kutoka kimuziki ingawa hakufanikiwa bado.Maisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
Aibu utaisikia weweTena naomba huo wimbo nisije kuusikia
Dadaake kaanza kuimba kabla hata Diamond hajulikani. Kama utakuwa mfuatiliaji was mziki utakumbuka mwanadada wa kwanza katika kundi la Dudu Baya "Dar skendo " ndo huyo Queen Darleen .sema kipaji chake cha kawaida sana.Maisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
Hata wewe uisikie piaAibu utaisikia wewe