Naomba tumsapot dada yake wa diamond kaja ni kijuso

Maisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
 
Huyu dada mbona kaanza kuimba siku nyingi wakati diamond alipokuwa akila kamasi bado
 
Maisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
Kwa huo mfano diamond ndo kamfata dada ake. Yaan queen darlin ndo wakwanza kutoka kimuziki ingawa hakufanikiwa bado.
 
Sio kila mtu ana karama ya uimbaji

Sio kila mtu anaweza kuwa mwanamuziki

Sio kila mtu ana sifa za kuwa mwanamuziki

Uanamuziki si tu ni Ajira ila pia ni KIPAJI / KARAMA/ TALANTA

Sio sahihi kulazimisha fani, anaweza kufanya mengine pia mbali na muziki.
 
Maisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
Dadaake kaanza kuimba kabla hata Diamond hajulikani. Kama utakuwa mfuatiliaji was mziki utakumbuka mwanadada wa kwanza katika kundi la Dudu Baya "Dar skendo " ndo huyo Queen Darleen .sema kipaji chake cha kawaida sana.
 
Back
Top Bottom