Naomba tumsapot dada yake wa diamond kaja ni kijuso

Someka basi mkuu,una tatizo na komenti zangu au kuna lingine,maana NIMESIFIA UMENIPONDA na sasa NIMEUPONDA bado unaniponda shida nini ........???
One love mkuu just challenge tu [emoji106][emoji106]
 
Doreen niliwahi kumpenda kipindi anaanza alivyorap kwenye ule wimbo wa Dar Skendo 'nukuite nani', wakiwa na Ngwea nikajua ndio kaja kuchukua nafasi ya kina Zay B na Sista P baada ya hapo akawa kimya na kuja kuibuka na 'Unanihanda' ft Alikiba, wimbo ulikuwa mzuri pengine kutokana na uwepo wa Kiba, baada ya hapo sijawahi kumuelewa tena kama anafanya mziki biashara au anafanya mziki ili asikike.
 
Queen Darling rudi ukampigie magoti King Kiba utoke tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ndio ile new 'hit' uliyoniambia itatoka baba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
cc The bold
Mpenzi wangu.! Kwani ukitusifia walau siku moja tu kiba sauti itakauka??

Well siwezi kusema kuwa huu wimbo utakuwa "wimbo wa taifa" but ni nyimbo nzuri tu..

- Darleen ameimprove sana hasa vocally na uandishi (najua amepata msaada kwenye uandishi).

- Ingawa ile aliyoimbaga na kiba miaka hiyo might be her biggest hit but kimuziki humu amekuwa bora zaidi..

- Rayvany kama kawaida yake huwa hakosei.

- Laizer ameendelea kuuthibitishia ulimwengu kuwa hakubahatisha na ananifanya nisijilaumu kwanini tulimchukua..

Nirudie hii nyimbo haiwezi kuwa "wimbo wa taifa" but ameimprove sana musically.. Na utapigwa sana kwenye media na show kibao naona zinakuja kwa ajili yake..

Proud of her.. But not as much as am proud of you [emoji6] [emoji6]

(Muone sasa atakavyo toka povu [emoji23] [emoji23] )
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe kwani ukisema tu ukweli siku moja utakufa babe?

Huu wimbo ni kimeo kabisa, kwa kuutetea huku unanitia mashaka na kiwango chako cha ukweli.

Naona unataka nianze kumchukia dada wa watu bure [emoji35]
 
Mi napita [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kumbe huu wimbo umeimbwa na watu wawili!! Nlijuw n mmoja maana saut zimefanana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mnajisiiiifuuu wakati nyimbo zenyewe mnaandikiwa hhahahaha.!

Ngoja nikumegee siri babes! Unaijua ile nyimbo ya Nedy na Dimpoz??

Basi jana nimetumiwa hiyo nyimbo but version nyingine, ndio nikauliza imekuwaje?? Nikapewa stori dogo flani hivi kumbe ndio anawauzia nyimbo zake [emoji23] [emoji23]

Mpaka verse ya Dimpoz kwenye kajiandae aisee wamechukua kutoka kwa huyo dogo.. Alafu mwenyewe alivyoiimba kwenye nyimbo yake ndio tamu zaidi dimpoz kaiharibu tu..

Ila uzuri hamuibi huwa anawauzia!
Aisee roho ikaniuma kishenzi nikaomba nyimbo zake nyingine, wakanitumia daaaaaaahh dogo ni ny*k*.! Vocally, kiba, mondi, baraka, mavoko wote wanasubiri.. Dogo mkali wa vocal, melodies, uandishi aiseeee..

Unajua hizi timu zetu hizi mda mwingine zinafanya new talents wanakosa nafasi ya kusikika.. Huyo dogo ameniumiza roho sana, natamani nimkutanishe na mondi daaaaahh.!

Ila muache kununua nyimbo aisee, mtoto wa watu mnamnyonya [emoji23] [emoji23]
 
Kila mtu na sikio lake nyimbo iko poa na idea yake ni ya tofauti na kile kilichoimbwa mule ni mambo yanayotokea katika jamii zetu wapenzi wakiachana wanaanza kutoana kasoro
Kama moyoni unakubali ni nyimbo kali ila kwa maneno unaipinga nawe utakuwa ni KIJUSO
 
Afu wakiimba v2 vingne wawe wna2pa na maana yke,xax iyo "kijuso" ndo nn...
 

C'mon baby....
Uzuri hatuibi tunanunua,halafu hapohapo unasema tunamnyonya!
Tunamnyonyaje kama anatuuzia mwenyewe?

Kununua wimbo sio kitu cha ajabu,wasanii wote wakubwa duniani wananunua.
Nadhani unajua vyema tatizo mahaba ya timu yanakupofusha.
 
C'mon baby....
Uzuri hatuibi tunanunua,halafu hapohapo unasema tunamnyonya!
Tunamnyonyaje kama anatuuzia mwenyewe?

Kununua wimbo sio kitu cha ajabu,wasanii wote wakubwa duniani wananunua.
Nadhani unajua vyema tatizo mahaba ya timu yanakupofusha.
Msajilini basi aaaarrrgghh!!

Tukimchukua madale mtaanza kokoro.. Ooohh "dogo wetu yule" "tumemuibua sisi" hahahaha msajilini bhana..
 
Msajilini basi aaaarrrgghh!!

Tukimchukua madale mtaanza kokoro.. Ooohh "dogo wetu yule" "tumemuibua sisi" hahahaha msajilini bhana..
Mbona sisi ndio tuliomuibua rais wenu and still tuko cool?

Hivi ingekuwa Diamond ndiye Ali Kiba aliyetoa ruhusa Diamond kurekodiwa si mngetusimanga kinoma?
 
Mbona sisi ndio tuliomuibua rais wenu and still tuko cool?

Hivi ingekuwa Diamond ndiye Ali Kiba aliyetoa ruhusa Diamond kurekodiwa si mngetusimanga kinoma?
Na hiyo stori yenu ya uongo mnavyoipenda [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Who is kiba ndani ya sharobaro records mpaka "atoe ruhusa" nani arekodiwe nyimbo na nani asirekodiwe..

Hili tango nahisi alikumezesha jamaa flani hivi kwenye ule uzi wenu wa kiba [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe wa kukataa leo darling?

Whaaaaat?Unataka kusema ni Ankal wangu Matola?
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
mkiitwa janja janja mnavimba! Sasa tutasapotije vibovu?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe wa kukataa leo darling?

Whaaaaat?Unataka kusema ni Ankal wangu Matola?
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kaone eti Matola! Hahahahah usimsingizie Ankal

Hili tango pori ulimezeshwa na "Bwana yule" [emoji1] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kaone eti Matola! Hahahahah usimsingizie Ankal

Hili tango pori ukimezeshwa na "Bwana yule" [emoji1] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilijua tu nikazunguka mbuyu.

Sawa bwana [emoji6]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilijua tu nikazunguka mbuyu.

Sawa bwana [emoji6]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]

Sory [emoji85] ila hilo tango pori lidelete kichwani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…