[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnajisiiiifuuu wakati nyimbo zenyewe mnaandikiwa hhahahaha.!
Ngoja nikumegee siri babes! Unaijua ile nyimbo ya Nedy na Dimpoz??
Basi jana nimetumiwa hiyo nyimbo but version nyingine, ndio nikauliza imekuwaje?? Nikapewa stori dogo flani hivi kumbe ndio anawauzia nyimbo zake [emoji23] [emoji23]
Mpaka verse ya Dimpoz kwenye kajiandae aisee wamechukua kutoka kwa huyo dogo.. Alafu mwenyewe alivyoiimba kwenye nyimbo yake ndio tamu zaidi dimpoz kaiharibu tu..
Ila uzuri hamuibi huwa anawauzia!
Aisee roho ikaniuma kishenzi nikaomba nyimbo zake nyingine, wakanitumia daaaaaaahh dogo ni ny*k*.! Vocally, kiba, mondi, baraka, mavoko wote wanasubiri.. Dogo mkali wa vocal, melodies, uandishi aiseeee..
Unajua hizi timu zetu hizi mda mwingine zinafanya new talents wanakosa nafasi ya kusikika.. Huyo dogo ameniumiza roho sana, natamani nimkutanishe na mondi daaaaahh.!
Ila muache kununua nyimbo aisee, mtoto wa watu mnamnyonya [emoji23] [emoji23]