Naomba tumsapot dada yake wa diamond kaja ni kijuso

Maisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
Dada kipaji hana,ila aliwai kutoka kuliko domo

Sijui unajua hilo

Domo amatafutie tuu kaz nyingine dada yake
 
Wimbo mbaya, another worse hit from wcb

Kama wcb hawatabadikilika ndio tunawapoteza hivyo
Sure ikixhomoka hit nyingine km ya darada tutawasahau

Maaana daimond alianza kuimba sijui nn??
 
Maisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
Mkuu sina uhakika na hilo ila natambua Doreen ndio wakwanza kutoa ngoma na ikahit kipindi Hata SIMBA cjui alikuwa mtaa gani
Nimeusikiliza huo wimbo wake ni mbaya wame puyanga hakuna kitu!
 
Dadaake kaanza kuimba kabla hata Diamond hajulikani. Kama utakuwa mfuatiliaji was mziki utakumbuka mwanadada wa kwanza katika kundi la Dudu Baya "Dar skendo " ndo huyo Queen Darleen .sema kipaji chake cha kawaida sana.
taratiibu basi.huyu ni Queen Darlin nabwa Dar Skendo alikua anaitwa Doreen Mkude.watu wawili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…