zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,483
- 1,705
Dada kipaji hana,ila aliwai kutoka kuliko domoMaisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
Sijui unajua hilo
Domo amatafutie tuu kaz nyingine dada yake