Naomba tupeane updates kidogo kwa wale walioenda kufanya interview ya oral dodoma baada ya kupita written ya TRC

Muamu3

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,708
Reaction score
4,531
wadau za mda huu
Naomba tupeane updates kidogo kwa wale walioenda kufanya interview ya oral dodoma baada ya kupita written ya TRC

Oral ilifanyika tarehe 9 february na leo ni february 28 mwezi
 
wadau za mda huu
Naomba tupeane updates kidogo kwa wale walioenda kufanya interview ya oral dodoma baada ya kupita written ya TRC

Oral ilifanyika tarehe 9 february na leo ni february 28 mwezi umeisha

Naomba tupeane updates kwa waliofanikiwa kuitwa kazini
Mbona
utumishi hakuna placement yoyote.. au umesikia Ajira zishatoka tayari ili watu waripoti vituoni..?
 
Mbona hutumishi hakuna placement yoyote.. au umesikia Ajira zishatoka tayari ili watu waripoti vituoni..?
Soma kidgo hujanielewa ni kwamba update kuanzia leo placement inaweza kufanyika maana oral ilifanyika trh 9 kama leo sio lazima mda huu hata jioni au kesho na kuendelea maana mwezi umeisha
 
Si umesema Walifanikiwa kuitwa kazini... Ndo maana nimekuambia hvyo au Huwa mnapigiwa Simu individual...!!!
Sasa sijui nn sijaelewa hapo
 
"Naomba tupeane apdates kwa waliofanikiwa kuitwa kazini"
Si unamaanisha watu washaitwa kazini ready
 
Waliofanikiwa kuitwa coz ishafanyika bado hawajatoa public
Tatizo hueleweki kijna,,, Unafanya makosa ya kiundishi mwsho wa siku unakuja kusababisha utata wa maana,, karibu kusoma vizuri nyuzi yako alafu uone kama uko sahihi na hiki unachokizungumza hapa..
Alafu unakuja kunambia nisome vizuri, kwani kusoma nimejua leo...?

Sasa nikwambie tu utumishi hawajaita watu kazini kwa hyo kada yenu Endelea kusubiri
 
Ndo majibu hayo niliyotak
 
Back
Top Bottom